Takukuru kusambaza makachero majimboni
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
DCI Mgulu kuongoza timu ya makachero
NA MOHAMMED ISSA
SAKATA la wizi wa mabilioni ya fedha za wakulima wa tumbaku, limechukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mgulu, kuwasili mkoani Tabora kwa ajili ya uchunguzi wa ufisadi huo.
DCI Mgulu amewasili mkoani humo, ikiwa ni siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kumuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, kutuma timu ya makachero kuwahoji vigogo wa vyama vya ushirika waliofanya ufisadi dhidi ya fedha za wakulima.
Ubadhirifu wa...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Makachero wapekua nyumbani kwa rubani, Malaysia
10 years ago
Michuzi20 Dec
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
‘Msiwabebe wanaojipitisha majimboni’
NA MWANDISHI WETU, MUFINDI
HALMASHAURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, imewataka viongozi wa matawi na kata kutokubali kuwabeba baadhi ya wanachama walioanza kujipitisha kwenye majimbo, kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani.
Katibu wa CCM wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu, alisema hayo wakati akisoma maazimio ya halmashauri hiyo, iliyokuwa na lengo la kupokea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Alisema ni kosa kikanuni kuanza...
10 years ago
Mwananchi01 Nov
Wanawake 22 waliotikisa majimboni
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Moto wawaka majimboni
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Wabunge waweka kambi majimboni
10 years ago
Habarileo17 Aug
Mtifuano Ukawa wakolea majimboni
SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.