Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DCI Mgulu kuongoza timu ya makachero


NA MOHAMMED ISSA
SAKATA la wizi wa mabilioni ya fedha za wakulima wa tumbaku, limechukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mgulu, kuwasili mkoani Tabora kwa ajili ya uchunguzi wa ufisadi huo.
DCI Mgulu amewasili mkoani humo, ikiwa ni siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kumuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, kutuma timu ya makachero kuwahoji vigogo wa vyama vya ushirika waliofanya ufisadi dhidi ya fedha za wakulima.
Ubadhirifu wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI TABORA


 Na Allan Ntana wa Globu  ya Jamii, Tabora  MKUU wa Jeshi la Polisi hapa nchini IGP Ernest Mangu ameteua timu ya askari polisi wataochunguza tuhuma za wizi wa fedha za wakulima wa zao la tumbaku katika vyama vya ushirika vya wakulima hao mkoani Tabora. 
 IGP Mangu amemteua Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu (pichani) ambaye ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai hapa nchini kuongoza timu.   Timu hiyo ya upelelezi kutoka makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam tayari...

 

9 years ago

Mwananchi

Timu ya DCI yapata ushahidi mzito

Kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), kimekamilisha kazi ya kuchunguza mauaji ya James Massawe, anayedaiwa kuuawa na matajiri wanne wa Jijini Mwanza.

 

9 years ago

Mwananchi

DCI atuma timu ya wapelelezi sakata la mauaji Kilimanjaro

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Diwani Athuman ametuma wapelelezi mkoani Kilimanjaro, kuchunguza mauaji ya kinyama ya James Massawe aliyeuawa mwaka 2009.

 

11 years ago

Michuzi

HAWA NDIO WACHEZAJI 32 WANAOTARAJIWA KUNG’ARA ZAIDI NA KUONGOZA TIMU ZAO WAKATI WA FIFA WORLD CUP 2014


Fainali za Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji [scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya wakijua wazi kabisa kwamba pale ndipo watakapoona “lulu” kwa ajili ya vilabu vyao. Kwa maana hiyo kuna kila aina ya harakati za kimichezo na kuonyesha na kuonyeshana vipaji. Hii sio kumaanisha kwamba wachezaji wote mahiri hapa duniani walicheza katika fainali za Kombe la Dunia.La. 
Wapo...

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kusambaza makachero majimboni

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward HoseaTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kusambaza vijana wa kazi katika majimbo yote nchini, kuwashughulikia wote walioonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uchaguzi, ambao wanatoa rushwa ili kupata wafuasi.

 

11 years ago

Mwananchi

Makachero wapekua nyumbani kwa rubani, Malaysia

Polisi nchini Malaysia wamevamia nyumba aliyokuwa akiishi rubani wa ndege iliyopotea na kuendesha msako mkali, ikiwamo kukusanya nyaraka muhimu ambazo zinazamiwa kuwa zitasaidia kufichua ukweli kuhusu tukio la kupotea kwa ndege hiyo.

 

10 years ago

GPL

DCI MNGULU ASTAAFU

Aliekuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu. Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amestaafu leo baada ya kufikia kikomo cha umri kisheria (zaidi ya miaka 60). Kwa sasa nafasi yake amekaimu, Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya. Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani