DCI atuma timu ya wapelelezi sakata la mauaji Kilimanjaro
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Diwani Athuman ametuma wapelelezi mkoani Kilimanjaro, kuchunguza mauaji ya kinyama ya James Massawe aliyeuawa mwaka 2009.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI TABORA
.jpg)
IGP Mangu amemteua Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu (pichani) ambaye ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai hapa nchini kuongoza timu. Timu hiyo ya upelelezi kutoka makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam tayari...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
DCI Mgulu kuongoza timu ya makachero
NA MOHAMMED ISSA
SAKATA la wizi wa mabilioni ya fedha za wakulima wa tumbaku, limechukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mgulu, kuwasili mkoani Tabora kwa ajili ya uchunguzi wa ufisadi huo.
DCI Mgulu amewasili mkoani humo, ikiwa ni siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kumuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, kutuma timu ya makachero kuwahoji vigogo wa vyama vya ushirika waliofanya ufisadi dhidi ya fedha za wakulima.
Ubadhirifu wa...
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Timu ya DCI yapata ushahidi mzito
11 years ago
MichuziKAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE
11 years ago
Michuzi
IGP MANGU ATUMA TIMU MAALUM MKOANI MARA

Kufuatia matukio hayo, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu ametuma timu maalum ya wataamu itakayoongozwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai nchini, DCI Issaya Mngulu kwenda mkoani humo kuongeza nguvu kwa kushirikiana na wataalam wa mkoa huo, ili kuhakikisha kwamba wote wanaojihusisha na vitendo hivyo...
11 years ago
Mtanzania18 Aug
Mnyika, Mchange wavutana sakata la mauaji

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TUHUMA za mauaji ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, zimeendelea baada ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chadema, John Mnyika na kada wa chama hicho, Habib Mchange kuvutana hadharani.
Hiyo ni siku chache baada ya Mchange kutoa tuhuma dhidi ya viongozi wa juu wa Chadema wakiwamo Dk. Willibrod Slaa, Freeman Mbowe (mwenyekiti wa chama), Tundu Lissu (mwanasheria) na Mnyika...
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
BAWACHA walijia juu sakata mauaji ya watoto
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,Waziri wa Jinsia Wanawake na Wanawake, Sophia Simba na Mkuu wa...
10 years ago
GPL
MKE ASIMULIA MAPYA SAKATA LA MAUAJI YA MTEJA WA GARI