Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MANGU ATUMA TIMU MAALUM MKOANI MARA

Katika siku za hivi karibuni, huko mkoani Mara wilaya ya Butiama kumejitokeza matukio ya mauaji yanayowalenga hasa akina mama wawapo katika shughuli zao mbalimbali. 
Kufuatia matukio hayo, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu ametuma timu maalum ya wataamu itakayoongozwa na  Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai nchini, DCI Issaya Mngulu kwenda mkoani humo kuongeza nguvu kwa kushirikiana na wataalam wa mkoa huo, ili kuhakikisha kwamba wote wanaojihusisha na vitendo hivyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa IGP Mangu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI PWANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ,IGP Ernest Mangu akikagua gwaride lililo andaliwa kwa ajili yake wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo ambapo alizungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa mkoa huo. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGPErnest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Evarest Ndikilo wakati alipomtembelea ofisini kwake wakati alipokuwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Pwani .IGP alikuwa katika ziara ya kikazi...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AWASILI MKOANI MOROGORO KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA MWAKA URA-SACCOS

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP, Ernest Mangu akisalimiana na maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi leo mjini Morogoro walipokua wanamkaribisha kufungua mkutano wa sita wa mwaka wa Usalama wa Raia saccos (URA-SACCOS). Chama hicho cha akiba na mikopo kimekua mkombozi wa askari polisi kwa kuwapatia mikopo rahisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu awafunda Polisi

MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

MAZOEZI YANAJENGA AFYA — IGP MANGU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernet Mangu  akimpa mkono mshindi wa  Kwanza wa Riadha  ya Half May Day Marathon katika kundi la Wanaume,Alphonce Felix wa Club ya Holili,Kilimanjaro yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Boa  Bank Ammish Owusu, mshindi huyo amejipatia kitita cha Sh. 1100,000..Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernest Mangu akimpa mkono mshindi wa  Kwanza  wa  Riadha ya   Half May Day Marathon...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AONGEZA ASKARI KITETO

E88A9486
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa  vifo.kushoto ni Afisa tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)E88A9514Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi  wa Kata ya Matui Wilayani...

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema ngangari, IGP Mangu aonya

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuwa ngangari kwa kusisitiza kuwa maandamano yake yako palepale.

Chadema kimesema kuwa watajilinda wenyewe katika mikutano yao kwa sababu wana vijana waliopata mafunzo ya ulinzi na usalama.

Chama hicho jana kilitangaza kuanza kutekeleza maazimio ya mkutano wake mkuu kwa ajili ya kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchi nzima.

Wakati Chadema wakisisitiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani