IGP MANGU AONGEZA ASKARI KITETO
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa vifo.kushoto ni Afisa tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-kgMfujH8eAU/VGsc7QQw6xI/AAAAAAAANJg/dtdwYZhhzUI/s72-c/IGP_Kiteto.jpg)
IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kgMfujH8eAU/VGsc7QQw6xI/AAAAAAAANJg/dtdwYZhhzUI/s640/IGP_Kiteto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nqbbA5a5nsc/VGsc9AIWcTI/AAAAAAAANJo/-DUSwYWvxnY/s640/IGP_Kiteto4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TRSLPv0SJ1g/VRxTEE0JuwI/AAAAAAAHO3U/hTFXyhMXR2Y/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
IGP MANGU ATOA HESHMA KWA ASKARI WALIOUAWA WILAYANI MKURANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-TRSLPv0SJ1g/VRxTEE0JuwI/AAAAAAAHO3U/hTFXyhMXR2Y/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9I0pel4wnuE/VRxTELsIKfI/AAAAAAAHO3Y/65FV-2CkjPI/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-VVz0AoxKNek/VRwRT1euv7I/AAAAAAAAR3M/TN16CzqfFfY/s72-c/Slain%2Bpolice.jpg)
IGP MANGU AONGOZA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUAGA MIILI YA ASKARI WALIOUAWA KINYAMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-VVz0AoxKNek/VRwRT1euv7I/AAAAAAAAR3M/TN16CzqfFfY/s640/Slain%2Bpolice.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
IGP Mangu awafunda Polisi
MAOFISA na askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
10 years ago
Habarileo22 Dec
Kikwete aongeza kasi kuondoa askari uraiani
RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza idadi ya nyumba mpya zinazojengwa kwa ajili ya wanajeshi nchini kutoka 10,000 za sasa hadi 20,000 kabla ya kuondoka madarakani mwaka ujao.
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Meya Silaa amlilia IGP Mangu
MEYA wa Ilala, Jerry Silaa amemuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu kutokubali askari wake kuwa wakala wa sheria za barabara. Silaa alisema hayo katika uchaguzi wa Naibu Meya...
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Chadema ngangari, IGP Mangu aonya
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuwa ngangari kwa kusisitiza kuwa maandamano yake yako palepale.
Chadema kimesema kuwa watajilinda wenyewe katika mikutano yao kwa sababu wana vijana waliopata mafunzo ya ulinzi na usalama.
Chama hicho jana kilitangaza kuanza kutekeleza maazimio ya mkutano wake mkuu kwa ajili ya kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchi nzima.
Wakati Chadema wakisisitiza...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
IGP Mangu washughulikie polisi hawa
JESHI la Polisi nchini lilianzishwa kwa lengo la kuwalinda raia na mali zao. Kama yakijitokeza matukio yanayokwenda kinyume cha sheria, linapaswa kuchukua hatua. Katika kulifanya Jeshi la Polisi lifanye shughuli...