IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kgMfujH8eAU/VGsc7QQw6xI/AAAAAAAANJg/dtdwYZhhzUI/s72-c/IGP_Kiteto.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto mkoani Manyara leo Jumanne Novemba 18, 2014. IGP ametua wilayani humo kufuatilia yeye mwenyewe migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo vya wananchi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi18 Nov
IGP MANGU AONGEZA ASKARI KITETO
![E88A9486](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/E88A9486.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa vifo.kushoto ni Afisa tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
![E88A9514](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/E88A9514.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wakulima, wafugaji vitani Kiteto
MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...
10 years ago
Habarileo24 Nov
Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Mauaji ya wakulima tena Kiteto
MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Ndugai alalamikia mauaji ya wakulima Kiteto
THEODOS MGOMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0mjNH0t3Cd8/VGS9hxaiQPI/AAAAAAAABu0/oZY17IvlDXw/s1600/ndugai.jpg)
Akitumia kanuni ya 68(7), Moza alisema kumekuwa kukitokea mauaji ya kutisha ya wakulima katika wilaya ya Kiteto.
Moza alisema katika kipindi cha...
10 years ago
Mwananchi08 Mar
CCM yalaani mauaji ya wafugaji na wakulima yanayoendelea nchini
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)