Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAJAJI WAENDESHA MAHAKAMA YA WAZI KUSIKILIZA NA KUPOKEA MALALAMIKO YA WAKULIMA
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Kizungumkuti migogoro ya wakulima na wafugaji
KUTOKUBALIANA kuhusu chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji miongoni mwa wadau kumeelezwa ku
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo22 May
Migogoro ya wakulima, wafugaji yatawala Bunge
SAKATA la migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji nchini, limetawala mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2015/16 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa bungeni juzi.
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Serikali imelala migogoro ya wakulima na wafugaji?
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Dawa migogoro ya wakulima, wafugaji yaja
SERIKALI inatarajia kufanya kampeni maalumu ya kitaifa itakayoshirikisha taasisi za kiserikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa, ili kupata suluhu ya migogoro ya wakulima na wafugaji inayozidi kushika kasi nchini....
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
‘Mabadiliko tabianchi chanzo migogoro wafugaji, wakulima’
MIGOGORO mingi ya wakulima na wafugaji hapa nchini imeelezwa kuchangiwa na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Jaji wa Mahakama Kuu...
10 years ago
Habarileo08 Sep
Tibaijuka ataja sababu migogoro wafugaji, wakulima
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema migogoro ya ardhi iliyopo nchini baina ya wakulima na wafugaji, inasababishwa na ufinyu wa mitaji na teknolojia katika kuendeleza ardhi hiyo.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Lowassa: Nitaunda tume kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji
9 years ago
Michuzi02 Sep
WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM
Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...