Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa migogoro ya wakulima, wafugaji yaja

SERIKALI inatarajia kufanya kampeni maalumu ya kitaifa itakayoshirikisha taasisi za kiserikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa, ili kupata suluhu ya migogoro ya wakulima na wafugaji inayozidi kushika kasi nchini....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kizungumkuti migogoro ya wakulima na wafugaji

KUTOKUBALIANA kuhusu chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji miongoni mwa wadau kumeelezwa ku

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali imelala migogoro ya wakulima na wafugaji?

Mwaka 1994, niliulizwa swali hili nilipofanyiwa usaili wa kazi katika ofisi za Shirika la Chakula Duniani (FAO), jijini Rome nchini Italia. Jibu nililotoa halikukubalika.

 

10 years ago

Habarileo

Migogoro ya wakulima, wafugaji yatawala Bunge

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus KamaniSAKATA la migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji nchini, limetawala mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2015/16 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa bungeni juzi.

 

10 years ago

Habarileo

Tibaijuka ataja sababu migogoro wafugaji, wakulima

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema migogoro ya ardhi iliyopo nchini baina ya wakulima na wafugaji, inasababishwa na ufinyu wa mitaji na teknolojia katika kuendeleza ardhi hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Mabadiliko tabianchi chanzo migogoro wafugaji, wakulima’

MIGOGORO mingi ya wakulima na wafugaji hapa nchini imeelezwa kuchangiwa na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Jaji wa Mahakama Kuu...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitaunda tume kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa ataunda tume ya maridhiano itakayoshughulika migogoro ya wakulima na wafugaji ili kuondokana na matatizo ambayo yamekuwa yakiwasumbua.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafugaji, hifadhi watakiwa kutumia vikao kumaliza migogoro

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Mahmoud Kambona amewataka wafugaji wa Kata ya Loiborsiret wanaoishi kando ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na pori la akiba la Mkungunero, kutumia mazungumzo na vikao ili kumaliza mgogoro wa mpaka badala kutumia nguvu.

 

9 years ago

StarTV

Kuondoa Migogoro Ya Ardhi TPCF yaitaka Serikali kuanzisha sera ya wafugaji

 

Mtandao  unaoshughulika na utetezi wa haki za wafugaji hapa nchini  umeitaka serikali kuwezesha upatikanaji wa sera ya ufugaji wa asili pamoja na kupima  ardhi ya wafugaji  ili kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima.

Aidha mtandao huo umeikumbusha serikali kuwa  kutokutekeleza wajibu na kupelekea haki za binadamu kukiukwa ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.

Akizungumza jijini Arusha katika ofisi za mtandao wa wafugaji Mkurugenzi wa mtandao huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani