‘Mabadiliko tabianchi chanzo migogoro wafugaji, wakulima’
MIGOGORO mingi ya wakulima na wafugaji hapa nchini imeelezwa kuchangiwa na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Jaji wa Mahakama Kuu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Kizungumkuti migogoro ya wakulima na wafugaji
KUTOKUBALIANA kuhusu chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji miongoni mwa wadau kumeelezwa ku
Mwandishi Wetu
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Dawa migogoro ya wakulima, wafugaji yaja
SERIKALI inatarajia kufanya kampeni maalumu ya kitaifa itakayoshirikisha taasisi za kiserikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa, ili kupata suluhu ya migogoro ya wakulima na wafugaji inayozidi kushika kasi nchini....
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Serikali imelala migogoro ya wakulima na wafugaji?
10 years ago
Habarileo22 May
Migogoro ya wakulima, wafugaji yatawala Bunge
SAKATA la migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji nchini, limetawala mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2015/16 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa bungeni juzi.
11 years ago
Habarileo08 Sep
Tibaijuka ataja sababu migogoro wafugaji, wakulima
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema migogoro ya ardhi iliyopo nchini baina ya wakulima na wafugaji, inasababishwa na ufinyu wa mitaji na teknolojia katika kuendeleza ardhi hiyo.
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Lowassa: Nitaunda tume kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
RIPOTI MAALUM: Mabadiliko ya tabianchi yanavyo athiri wakulima nchini Kenya
Dk. Paul Andre Calatayud ambaye ni miongoni mwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa wadudu katika taasisi ya wadudu ya ICIPE kwenye mradi wa CHIESA (Climate Change Impacts on Ecosystem Services and Food security) iliyopo Kenya akionyesha wandishi wa habari waliotembelea katika eneo la Taita-Taveta, wakati wa utafiti huo.
Na Andrew Chale, Taita-Taveta, Kenya
[Taita Taveta, Kenya] Ni safari ya zaidi ya masaa saba (7), kwa gari kutoka mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuelekea hadi Kaunti ya Taita...
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.