Ndugai alalamikia mauaji ya wakulima Kiteto
THEODOS MGOMBA Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amesikitishwa na mauaji ya wakulima yanayoendelea kutokea katika wilaya ya Kiteto, ambayo inapakana na jimbo lake la Kongwa na kuitaka serikali kuingilia kati.Ndugai alifikia hatua hiyo jana baada ya Mozza Abeid (Viti Maalumu-CUF) kuomba mwongozo wa Spika.
Akitumia kanuni ya 68(7), Moza alisema kumekuwa kukitokea mauaji ya kutisha ya wakulima katika wilaya ya Kiteto.
Moza alisema katika kipindi cha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Ndugai asema Kiteto inanuka mauaji
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa mauaji yanayotokea wilayani Kiteto yanatisha na kwamba huwezi kuamini kama ni sehemu ya Tanzania. Ndugai ambaye pia ni mbunge wa Kongwa, wilayani...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Mauaji ya wakulima tena Kiteto
MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-kgMfujH8eAU/VGsc7QQw6xI/AAAAAAAANJg/dtdwYZhhzUI/s72-c/IGP_Kiteto.jpg)
IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-kgMfujH8eAU/VGsc7QQw6xI/AAAAAAAANJg/dtdwYZhhzUI/s640/IGP_Kiteto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nqbbA5a5nsc/VGsc9AIWcTI/AAAAAAAANJo/-DUSwYWvxnY/s640/IGP_Kiteto4.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Ndugai: Kiteto kama Somalia
10 years ago
Daily News12 Nov
Ongoing killings in Kiteto district anger Ndugai
Daily News
Daily News
NATIONAL Assembly Deputy Speaker, Mr Job Ndugai, has expressed lament over the killings in Kiteto district, Manyara region, saying the situation there is serious. Mr Ndugai was commenting after a response from Minister of State in the President's Office ...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wakulima, wafugaji vitani Kiteto
MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...
10 years ago
Habarileo24 Nov
Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Mauaji ya Kiteto, Siha yakome
KWA muda mrefu kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu ugomvi kati ya wakulima na wafugaji wanaogombania maeneo hapa nchini Ugomvi wa pande hizo mbili zimekuwa zikisababisha vifo, majeraha,...