Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji ya wakulima tena Kiteto

MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ndugai alalamikia mauaji ya wakulima Kiteto


THEODOS MGOMBA 
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amesikitishwa na mauaji ya wakulima yanayoendelea kutokea katika wilaya ya Kiteto,   ambayo inapakana na jimbo lake la Kongwa na kuitaka serikali kuingilia kati.Ndugai alifikia hatua hiyo jana baada ya Mozza Abeid  (Viti Maalumu-CUF) kuomba mwongozo wa Spika. 
Akitumia kanuni ya 68(7), Moza alisema kumekuwa kukitokea mauaji ya kutisha ya wakulima katika wilaya ya Kiteto. 
Moza alisema katika kipindi cha...

 

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto mkoani Manyara leo Jumanne Novemba 18, 2014. IGP ametua wilayani humo kufuatilia yeye mwenyewe migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo vya wananchiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauaji tena Kiteto, Serikali yawaangukia viongozi wa siasa

WAKATI mkulima Hassan Kondeya ameuawa jana na kundi la wafugaji wa kabila la Masai, Serikali imetoa kauli kuhusiana na hali tete ya mauaji ya mara kwa mara wilayani humo. Akitoa...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji vitani Kiteto

MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya Kiteto, Siha yakome

KWA muda mrefu kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kuhusu ugomvi kati ya wakulima na wafugaji wanaogombania maeneo hapa nchini Ugomvi wa pande hizo mbili zimekuwa zikisababisha vifo, majeraha,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mauaji kiteto kujadiliwa Bungeni

BUNGE limepeleka kamati ndogo, chini ya uongozi wa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, kwenda kuchunguza mauaji ya kutisha yanayoendelea kutokea wilayani Kiteto mkoani Manyara. Hatua hiyo ilitangazwa jana Bungeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani