Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano

Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji wauana Kigoma

WATU watatu wamefariki dunia na wengine hawajulikani walipo baada ya kuibuka mapigano ya kugombania ardhi yaliyowahusisha wafugaji na wakulima katika Kijiji cha Minyinya Kata ya Nyamtukuza Wilaya ya Kakonko mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafugaji 30 mbaroni kwa mapigano Kiteto

Wakati bado hofu ya mapigano ya wakulima na wafugaji, ikiwa bado imetanda wilayani hapa, wafugaji 31, wamekamatwa kutokana na mapigano hayo yaliyosababisha vifo vya watu 10.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji vitani Kiteto

MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe

Uhai wa Mtanzania mmoja umepotea katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Ni kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji. Katika mapigano hayo, watu wengine wanne akiwamo askari, walijeruhiwa huku zaidi ng’ombe 72 wakiuawa.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara yameibuka tena na kusababisha mtu mmoja kuuawa kwa kukatwa kichwa katika Kijiji cha Kondevesi.

 

10 years ago

Habarileo

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua 3 Kigoma

MAPIGANO yaliyoibuka baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Minyinya, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, yamesababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua watu wawili

Watu wawili wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa vibaya katika mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani