Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo, akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote huku akiwaomba Watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa.
Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano yake alioufanya katika mji...
Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano yake alioufanya katika mji...
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
MAGUFULI AAHIDI: Ni suala la kukomesha mapigano ya wakulima na wafugaji nchini!
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote huku akiwaomba Watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa. PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA
Dkt Magufuli ameahidi kuwa mara baada ya kuchaguliwa...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe
Uhai wa Mtanzania mmoja umepotea katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Ni kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji. Katika mapigano hayo, watu wengine wanne akiwamo askari, walijeruhiwa huku zaidi ng’ombe 72 wakiuawa.
10 years ago
Habarileo22 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua 3 Kigoma
MAPIGANO yaliyoibuka baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Minyinya, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, yamesababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji
Mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara yameibuka tena na kusababisha mtu mmoja kuuawa kwa kukatwa kichwa katika Kijiji cha Kondevesi.
10 years ago
GPLJIMBO LA MVOMEROTATIZO SUGU NI MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla akizungumza jambo. Stori: mwandishi wetu
Mvomero ni miongoni mwa wilaya sita zinazounda Mkoa wa Morogoro, pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla (pichani)kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Kwa upande wa Kaskazini, Mvomero inapakana na Mkoa wa Tanga, Kaskazini Mashariki inapakana na Mkoa wa Pwani na...
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua watu wawili
Watu wawili wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa vibaya katika mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro
Mkulima mmoja ameuawa kwa kupigwa fimbo kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye ugomvi uliotokea baada ya wafugaji hao kulisha ng’ombe wao kwenye shamba la mkulima huyo.
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano
Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania