JIMBO LA MVOMEROTATIZO SUGU NI MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla akizungumza jambo. Stori: mwandishi wetu Mvomero ni miongoni mwa wilaya sita zinazounda Mkoa wa Morogoro, pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla (pichani)kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Kwa upande wa Kaskazini, Mvomero inapakana na Mkoa wa Tanga, Kaskazini Mashariki inapakana na Mkoa wa Pwani na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe
10 years ago
Habarileo01 Oct
Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji
11 years ago
Habarileo22 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua 3 Kigoma
MAPIGANO yaliyoibuka baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Minyinya, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, yamesababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano
11 years ago
Mwananchi24 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua watu wawili
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI


Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano yake alioufanya katika mji...
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero