Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ameiagiza kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Mvomero kuimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro kufuatia kutokea  mapigano kati ya wakulima na wafugaji na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akimpa pole na fedha za matibabu mmoja wa wakulima aliyejeruhiwa kwa kuvunjwa Mkono. Maelfu ya wananchi wakimsikiliza kwa makini baada ya Mbunge wao Amos Makalla kukubali kufadhili Kamati ya kwenda kumuona Waziri mkuu.Mamia ya wananchi akimpokea mbunge wao aongee na wakulima bonde la Mgongolwa.

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akiongea na wananchi nje ya kituo cha polisi kuwa mahabusu wapo salamaMbunge wa Mvomero, mkuu wa wilaya , Kamati ya ulinzi na...

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Mvomero wapatana

SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imefanikiwa kuwapatanisha wakulima na wafugaji wa vijiji vitano vilivyopo kata ya Hembeti vinavyo pakana na Bonde la Mgongola na imewataka wakulima wanaotoka nje ya wilaya hiyo kujisajili katika halmashauri za serikali za vijiji vinavyohusika na bonde hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe

Uhai wa Mtanzania mmoja umepotea katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Ni kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji. Katika mapigano hayo, watu wengine wanne akiwamo askari, walijeruhiwa huku zaidi ng’ombe 72 wakiuawa.

 

11 years ago

Habarileo

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua 3 Kigoma

MAPIGANO yaliyoibuka baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Minyinya, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, yamesababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji

Mapigano baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara yameibuka tena na kusababisha mtu mmoja kuuawa kwa kukatwa kichwa katika Kijiji cha Kondevesi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua watu wawili

Watu wawili wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa vibaya katika mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano

Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.

 

10 years ago

GPL

JIMBO LA MVOMEROTATIZO SUGU NI MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla akizungumza jambo. Stori: mwandishi wetu
Mvomero ni miongoni mwa wilaya sita zinazounda Mkoa wa Morogoro, pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Amos Gabriel Makalla (pichani)kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Kwa upande wa Kaskazini, Mvomero inapakana na Mkoa wa Tanga, Kaskazini Mashariki inapakana na Mkoa wa Pwani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani