MBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA
Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akimpa pole na fedha za matibabu mmoja wa wakulima aliyejeruhiwa kwa kuvunjwa Mkono.
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza kwa makini baada ya Mbunge wao Amos Makalla kukubali kufadhili Kamati ya kwenda kumuona Waziri mkuu.
Mamia ya wananchi akimpokea mbunge wao aongee na wakulima bonde la Mgongolwa.
Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akiongea na wananchi nje ya kituo cha polisi kuwa mahabusu wapo salama
Mbunge wa Mvomero, mkuu wa wilaya , Kamati ya ulinzi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero
9 years ago
Michuzi
MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO

Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.

11 years ago
Michuzi05 Apr
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
11 years ago
Habarileo23 Dec
Wakulima, wafugaji Mvomero wapatana
SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imefanikiwa kuwapatanisha wakulima na wafugaji wa vijiji vitano vilivyopo kata ya Hembeti vinavyo pakana na Bonde la Mgongola na imewataka wakulima wanaotoka nje ya wilaya hiyo kujisajili katika halmashauri za serikali za vijiji vinavyohusika na bonde hilo.
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mgogoro wakulima, wafugaji waendelea
WAKULIMA wa Wilaya ya Kiteto, Manyara, wameomba serikali iwape kibali cha kuwaondoa wafugaji kama yenyewe serikali imeshindwa kutatua mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi. Wakulima walitoa kauli hiyo juzi...
10 years ago
StarTV06 Feb
Ubaguzi wadaiwa kugubika mgogoro wa Wakulima na Wafugaji.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wawakilishi wa wafugaji wa Mkoa wa Morogoro na mashirika yanayotetea wafugaji wamedai kuwa mgogoro wa ardhi unaoendelea kati ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero na Kilosa umevaa sura ya maslahi ya kisiasa na ubaguzi dhidi ya wafugaji.
Aidha wafugaji hao pamoja na mashirika yanayotetea haki za wafugaji nchini wametoa mwito wa kuzingatiwa kwa amri ya mahakama iliyotoa maamuzi kuhusu umiliki wa maeneo ya vijiji vyenye mgogoro ili kumaliza mapigano baina ya...
10 years ago
Habarileo19 Feb
Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa
WATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.
11 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

10 years ago
Mwananchi24 Sep
DC aingilia mgogoro sugu wa maji