Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC aingilia mgogoro sugu wa maji

Serikali ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, imeunda tume kuchunguza mgogoro baina ya Mamlaka ya Maji ya Mji wa Gallapo (Gawaso) na wananchi baada ya kugoma kulipa ankara na kukatiwa maji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akimpa pole na fedha za matibabu mmoja wa wakulima aliyejeruhiwa kwa kuvunjwa Mkono. Maelfu ya wananchi wakimsikiliza kwa makini baada ya Mbunge wao Amos Makalla kukubali kufadhili Kamati ya kwenda kumuona Waziri mkuu.Mamia ya wananchi akimpokea mbunge wao aongee na wakulima bonde la Mgongolwa.

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akiongea na wananchi nje ya kituo cha polisi kuwa mahabusu wapo salamaMbunge wa Mvomero, mkuu wa wilaya , Kamati ya ulinzi na...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AJITWISHA MGOGORO SUGU WA SHAMBA LA TAASISI YA EFATHA NA WANANCHI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA.

 Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana (katikati) alipokuwa akiwahutubia katika Kijiji cha Mawenzusi,wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.

 Kinana alisema kitendo cha Serikali kuchukua shamba hilo na kulibinafsisha kwa Efatha bila kuwapa taarifa wanakijiji ni kuwadhulumu wanakijiji hao. "Tutakwenda kulifanyia kazi suala hili haiwezekani shamba la zaidi ya ekari 10,000 likae tu bila shughuli yoyote, Nawaambieni hivi. shamba lenu mmedhulumiwa na...

 

10 years ago

GPL

LUDEWA; AFYA, MAJI SAFI NA MAWASILIANO NI MATATIZO SUGU

Na Stephano Mango, Ludewa
Ludewa ni moja kati ya wilaya tano zinazounda mkoa mpya wa Njombe. Upande wa Kaskazini, Ludewa inapakana na Wilaya ya Njombe Vijijini na Wilaya ya Makete. Kusini Mashariki kuna Mkoa wa Ruvuma na Kusini Magharibi inapakana na Nchi ya Malawi na Ziwa Nyasa. Mheshimiwa Deogratius Haule Filikunjombe. Pia Ludewa ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Deogratius Haule Filikunjombe kwa tiketi ya...

 

9 years ago

Habarileo

‘Endapo Kibamba mtanichagua nitaondoa kero sugu ya maji’

MGOMBEA wa ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Dickson Ng’hily amesema endapo wana Kibamba, watamchagua kuwa mbunge wao, ataondoa kero sugu ya ukosefu wa maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Magu ajitosa mgogoro mradi wa maji Nyanguge

SAKATA la Halmahauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, kudaiwa kupuuza na kukaidi amri iliyotolewa na serikali ya kutaka kufutwa na kutangazwa upya zabuni ya mradi mkubwa wa maji ya...

 

10 years ago

Michuzi

NASSAR AANDALIWA SHEREHE JIMBONI KWAKE, NI BAADA YA KUTATUA MGOGORO WA MAJI

Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila iliyoandaliwa na wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa maji uliokuwepo katika baadhi ya vijiji.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia vijiji 15 katika jimbo hilo.Mamia ya wananchi wakimsikiliza mbunge Joshua Nassar wakati akizungumza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JOSHUA NASSAR AANDALIWA SHEREHE JIMBONI KWAKE ,NI BAADA YA KUTATUA MGOGORO WA MAJI.

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia vijiji 15 katika jimbo hilo. Mamia ya wananchi wakimsikiliza mbunge Joshua Nassar wakati akizungumza katika mkutano huo. Mbunge Joshua Nassar alitumia pia mkutano huo ,kukabidhi magari mawili ya kubebea wagonjwa katika jimbo la Arumeru Mashariki. Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani