Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Endapo Kibamba mtanichagua nitaondoa kero sugu ya maji’

MGOMBEA wa ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Dickson Ng’hily amesema endapo wana Kibamba, watamchagua kuwa mbunge wao, ataondoa kero sugu ya ukosefu wa maji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Fenela Mukangara kupambana na kero ya maji katika jimbo la Kibamba

photo

Na Jimmy Kagaruki, Dar

Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt. Fenela Mukangara (pichani) amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la Kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.

Akizungumza  na Nuru FM Mukangara amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na jimbo la Kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.

Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIBAMBA KISARAWE

Na Zainab Nyamka, Michuzi Tv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji  wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA.

Mradi huo umejengwa  kufuatia agizo alilotoa Juni 21,2017 wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Ruvu Juu akiwataka Dawasa kutanua mtandao wa Usambazaji maji na kupeleka maji Kisarawe.

Akitoa maelezo ya mradi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mradi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

DC aingilia mgogoro sugu wa maji

Serikali ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, imeunda tume kuchunguza mgogoro baina ya Mamlaka ya Maji ya Mji wa Gallapo (Gawaso) na wananchi baada ya kugoma kulipa ankara na kukatiwa maji.

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO (17KM) ITAKAYOPITA KATIKA CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI, MLOGANZILA, KIBAMBA

 Mhandisi kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa Vigwaza utakavokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani mingine nchini. Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya ujenzi  inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili kilichopo katika eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Dkt. Magufuli alipita hapo mara baada ya kukagua...

 

9 years ago

Habarileo

Mukangara kuondoa kero ya maji

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dihozile walia kero ya maji

WAKAZI wa Kijiji cha Dihozile, Kata ya Msoga, wilayani Bagamoyo, wanatembea umbali wa zaidi ya saa mbili kupata huduma ya maji. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge  kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Kero ya maji yagubika kampeni za Samia

Takribani mikoa sita ambayo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amefanya kampeni zake, amepokea matatizo kadhaa, lakini tatizo kubwa linalokabili mikoa hiyo ni maji.

 

9 years ago

Habarileo

‘Nipeni Ubungo nitatue kero ya maji’

MGOMBEA wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha UPDP, Naomi Mabrouk amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao ili aweze kutatua kero mbalimbali ikiwemo ya muda mrefu ya maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji

MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani