Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Fenela Mukangara kupambana na kero ya maji katika jimbo la Kibamba

photo

Na Jimmy Kagaruki, Dar

Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt. Fenela Mukangara (pichani) amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la Kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.

Akizungumza  na Nuru FM Mukangara amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na jimbo la Kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.

Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DKT FENELA MUKANGARA AAHIDI KUWAINUA KIUCHUMI WANANCHI WA KIBAMBA KUPITIA SACCOS

Dkt Fenela Mukangara akizungumza na wana SACCOS wa kata ya Msigani
 akiahidi kuwainua kiuchumi wananchi wa kibamba kupitia SACCOS yao jijini Dar es Salaa jana.
 Baadhi ya akina mama na wana SACCOS wa kata ya Msigani wakimsikiliza Dkt Fenela Mukangara jijini Dar es Salaa jana.

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa eneo hilo wakati akipokuwa akitangaza sera za chama chake na kuwaomba wampigie kura katika uchaguzi ujao pamoja na madiwani wengine sita wa chama cha mapinduzi.Dkt Fenella alitaja vipaumbele vyake katika jimbo hilo ambavyo ni Maji,Elimu,Afya pamoja na ajira kwa Vijana na kuwasihi wakazi hao kuchagua maendeleo bora yatayopatikana ndani ya CCM.Mwenyekiti  wa CCM mkoa wa Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

DKT FENELLA MUKANGARA AHAIDI KUTATUA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA JIMBO LA KIBAMBA

  Umati wa wananchi wa kimara michungwani  wakimsikiliza mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi(CCM) Dkt Fenella Mukangara(hayupo pichani) wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake jimboni kibamba. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi(CCM)  Dkt Fenella Mukangara akizungumza na wakazi wa kimara michungwani  wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi hao kuwa wakimchagua atafanikisha kutatua suala la ajira kwa vijana ikiwemo kuwapa elimu...

 

9 years ago

Vijimambo

DKT FENELA AIBUA MATUMAINI MAPYA JIMBONI KIBAMBA

dkt fenela mukangara akiwa na mumewe prof mukangara kwenye mkutano wa kampeni za ccm Jimbo la kibamba kwenye uwanja wa msigani tanescomamia ya wananchi wa kibamba wakimsikiliza dkt fenela mukangara.dkt fenela mukangara akihutumia wananchi wa jimbo la kibamba kwenye viwanja vya msigani tanesco.dkt fenela mukangara akipongezwa na mumewe prof mukangara mara baada ya kuhutubia mkutano wa kibamba.

 

9 years ago

Habarileo

Mukangara kuondoa kero ya maji

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.

 

9 years ago

Habarileo

‘Endapo Kibamba mtanichagua nitaondoa kero sugu ya maji’

MGOMBEA wa ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Dickson Ng’hily amesema endapo wana Kibamba, watamchagua kuwa mbunge wao, ataondoa kero sugu ya ukosefu wa maji.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIBAMBA KISARAWE

Na Zainab Nyamka, Michuzi Tv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji  wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA.

Mradi huo umejengwa  kufuatia agizo alilotoa Juni 21,2017 wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Ruvu Juu akiwataka Dawasa kutanua mtandao wa Usambazaji maji na kupeleka maji Kisarawe.

Akitoa maelezo ya mradi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mradi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA KATIKA JIMBO LA KIBAMBA LEO

Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa...

 

9 years ago

Habarileo

Dk Mukangara: Nitaongeza ajira Kibamba

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya CCM, Dk Fenella Mukangara ameahidi kusaidia kuongeza ajira kwa wakazi wa jimbo hilo na kutatua kero zao mbalimbali. Dk Mukangara alisema hayo juzi wakati akizungumza na wakazi wa jimbo hilo, waliojitokeza katika kata ya Mbezi Kimara kwenye kampeni za ubunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani