Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara Mukangara achanja mbuga
![](http://1.bp.blogspot.com/-Vqpbaa1erU0/Vf7WbPVTRrI/AAAAAAAH6Vg/xJ0FvaloqdE/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa eneo hilo wakati akipokuwa akitangaza sera za chama chake na kuwaomba wampigie kura katika uchaguzi ujao pamoja na madiwani wengine sita wa chama cha mapinduzi.Dkt Fenella alitaja vipaumbele vyake katika jimbo hilo ambavyo ni Maji,Elimu,Afya pamoja na ajira kwa Vijana na kuwasihi wakazi hao kuchagua maendeleo bora yatayopatikana ndani ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-H8az2d17Z00/ViS6PxOf3aI/AAAAAAAIA2s/dNelycVnano/s72-c/IMG_2798%2B%2528800x533%2529.jpg)
DKT FENELLA MUKANGARA AHAIDI KUTATUA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA JIMBO LA KIBAMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-H8az2d17Z00/ViS6PxOf3aI/AAAAAAAIA2s/dNelycVnano/s640/IMG_2798%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4b6s03V-31Y/ViS6Pw3XNqI/AAAAAAAIA2k/OoYssKtTLrI/s640/IMG_2850%2B%2528800x494%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Dkt. Fenela Mukangara kupambana na kero ya maji katika jimbo la Kibamba
Na Jimmy Kagaruki, Dar
Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt. Fenela Mukangara (pichani) amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la Kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.
Akizungumza na Nuru FM Mukangara amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na jimbo la Kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.
Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi...
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt Fenella Mukangara ahaidi kujenga zahanati kwa wakazi wa Kwembe
Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam Bw Juma Simba Gaddafi akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Fenella Mukangara(kulia) na mgombea udiwani kwa tiketi chama hicho pia Bw Abeid jumanne kikoti(kushoto) wakati wa kampeni jana kwembe Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa kata ya Kwembe wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R8UhH3VgVMg/UuubFjAt3jI/AAAAAAAFJ7E/C-t4BmrIYQ8/s72-c/unnamed+(45).jpg)
Dkt. Fenella Mukangara akabidhi vifaa vya Michezo kwa Shule za Sekondari jijini Dar leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-R8UhH3VgVMg/UuubFjAt3jI/AAAAAAAFJ7E/C-t4BmrIYQ8/s1600/unnamed+(45).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DFL0ACzzCDs/UuubGXDw0KI/AAAAAAAFJ7M/GCdrcjBeWv8/s1600/unnamed+(44).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V_Z_YAd2MPc/VaZXvatT-JI/AAAAAAAANyI/9OC8fZO3AmM/s72-c/IMG-20150628-WA0124%25281%2529.jpg)
MAGANGA KUMNYIMA USINGIZI Dr.MUKANGARA KURA ZA MAONI UBUNGE KIBAMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-V_Z_YAd2MPc/VaZXvatT-JI/AAAAAAAANyI/9OC8fZO3AmM/s320/IMG-20150628-WA0124%25281%2529.jpg)
Hali ya kisiasa jimboni humo imepamba moto baada ya watia nia hao wawili kuimarisha ngome zao kwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Maganga kumnyima usingizi Dr. Mukangara kura za maoni Ubunge Kibamba
Mtia nia kwa nafasi ya ubunge jimbo jipya la Kibamba kupitia tiketi ya CCM, Bw.Stanslaus Justine Maganga (26) (Pichani) ametangaza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo hilo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Dr. Fenella Ephrahim Mukangara nae pia ni moja kati ya makada wa chama cha mapinduzi(ccm) wanaothubutu kutia nia kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Kibamba kupitia chama hiko.
Hali ya kisiasa jimboni humo imepamba moto baada ya watia nia hao wawili kuimarisha...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Dkt. Fenella Mukangara aahidi kuijenga Kimbamba mpya
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt. Fenella Mukangara katika mikutano ya kampeni.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la kibamba Dkt. Fenella Mukangara.
Na Jimmy Kagaruki, Kibamba
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kibamba Dkt Fenella Mukangara amesema atalifanya jimbo hilo kuwa la kisasa kwa muda wa miaka mitano ijayo.
Dkt. Fenella ameyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Kibamba kwenye kata ya Saranga.
Akihutubia...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9KDhEYwjuE8/VgUJF5skOJI/AAAAAAAH7Gg/usYXAz9p9eg/s72-c/IMG_1284%2B%2528800x446%2529.jpg)
DKT FENELLA MUKANGARA AKUTANA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI NA KUNADI SERA ZAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-9KDhEYwjuE8/VgUJF5skOJI/AAAAAAAH7Gg/usYXAz9p9eg/s640/IMG_1284%2B%2528800x446%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lwn7GV-MH6A/VgUJFxKZSnI/AAAAAAAH7Gk/20jPMq3hLT0/s640/IMG_1394%2B%2528600x334%2529.jpg)