Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI WA KIBAMBA KISARAWE

Na Zainab Nyamka, Michuzi Tv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji  wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA.

Mradi huo umejengwa  kufuatia agizo alilotoa Juni 21,2017 wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Ruvu Juu akiwataka Dawasa kutanua mtandao wa Usambazaji maji na kupeleka maji Kisarawe.

Akitoa maelezo ya mradi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mradi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC NDIKILO AKABIDHIWA MRADI WA MAJI KISARAWE, AMUOMBA RAIS KUUZINDUA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amekabidhiwa rasmi mradi wa maji Kisarawe na Mamlala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) na kumuomba Rais Dkt John Pombe Magufuli kuuzindua.
Hayo ameyasema akiwa anaendelea na ziara yake, Ndikilo ametembelea mradi wa maji Kisarawe akianzia tanki la Kibamba hadi Kisarawe kwenye tenki la kuhifadhia maji.
Ndikilo amemuomba Rais kuuzindua mradi huo ambao umekamilika kama maagizo yake kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua ujenzi wa Mradi wa Maji Lindi, awazawadia washindi Nanenane

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwakilishi wa shirika la misaada la Ujerumani KFW Bi.Katrin Brandes na mkuu wa mkoa wa Lindi Bibi Mwantum Mahiza wakifunua kitambaa kuzindua ujenzi wa mradi wa maji wa mji wa Lindi eneo la Ng’apa mjini Lindi leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga kombe la ushindi baada ya taasisi anayoiongoza kuibuka mshindi wa taasisi iliyofanya vyema kuliko zote(Overall Best Exhibitor) wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Mkoa wa Tanga, azindua Mradi wa Maji Mkata, agawa madume bora ya ng'ombe handeni

Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi   -Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Msomela wakatia  a lipokwenda kukabidhi madume bora ya ng’ombe kwa wafugaji leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kasha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi huo mkubwa ambao  umegharimiwa na Serikali ya Marekani kupitia MCA-Tanzania Agosti 22, 2014Sehemu ya jengo la mradi huo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakifunua pazia kuzindua mradi huoRais Jakaya Mrisho Kikwete na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Fenela Mukangara kupambana na kero ya maji katika jimbo la Kibamba

photo

Na Jimmy Kagaruki, Dar

Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Dkt. Fenela Mukangara (pichani) amesema atashirikiana na wananchi wa jimbo la Kibamba kupambana na kero ya maji kwenye jimbo hilo.

Akizungumza  na Nuru FM Mukangara amesema licha ya mikakati ya serikali ya kupambana na kero ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na jimbo la Kibamba kwa ujumla bado kuna upungufu wa maji kwa wakazi hao.

Ametaja sababu za upungufu huo wa maji kuwa ni pamoja na baadhi ya wananchi...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA NA KUKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA CHWAKA, UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja, wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama wa Chwaka, leo Sept 12, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi mkuu wa Tanki la maji, Yohana Mkoloma, wakati alipotembelea kukagua Mradi wa Maji safi na Salama wa Chwaka, Unguja leo Sept 12,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani