Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA NA KUKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA CHWAKA, UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja, wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama wa Chwaka, leo Sept 12, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi mkuu wa Tanki la maji, Yohana Mkoloma, wakati alipotembelea kukagua Mradi wa Maji safi na Salama wa Chwaka, Unguja leo Sept 12,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA MAENDELEO YA MRADI YA MAJI KATA YA KIGUNDA WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua  moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI LA SOKOINE MONDULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe) February 25-2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UIMARISHAJI MRADI WA MAJI SAFI MAKUNDUCHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maji safi (ZAWA) Dkt. Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea Uimarishaji wa mradi wa maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015. M akamu wa Rais wa…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wanafamilia ya marehemu Mzee MtumwaKassim, wakati alipowatembelea kijijini kwao Gamba Sokoni Mkoa wa Kaskazini...

 

10 years ago

Vijimambo

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA ENEO LA BUGURUNI KWA MNYAMANI LILILOATHIRIKA NA MAFURIKO


Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015 kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam.  Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani