Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI LA SOKOINE MONDULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe) February 25-2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA NA KUKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA CHWAKA, UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja, wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama wa Chwaka, leo Sept 12, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi mkuu wa Tanki la maji, Yohana Mkoloma, wakati alipotembelea kukagua Mradi wa Maji safi na Salama wa Chwaka, Unguja leo Sept 12,...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA MAENDELEO YA MRADI YA MAJI KATA YA KIGUNDA WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua  moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA ENEO LA BUGURUNI KWA MNYAMANI LILILOATHIRIKA NA MAFURIKO


Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015 kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam.  Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais,Dkt. Bilal atembelea banda ya Bunge kwenye Maonyesho ya Muungano jijini Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ghalib Mohamed Bilal akipata maelezo ya Historia, Muundo, Kazi na Utendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Afisa Habari wa Bunge Bw. Prosper Minja wakati kiongozi huyo alipotembelea banda la Bunge lililopo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo lijini Dar es Salaam. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa washiriki wa maonesho ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano. Taasisi mbalimbali za Serikali na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA YA UFUTA CHA TAKEMOTO, NAGOYA JAPAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Asha Bilal, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona (wa pili kushoto) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakiongozana wakati walipokuwa wakielekea kutembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya Ufuta cha Takemoto kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la Tokyo Japan, jana Mei 22, 2014, akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini Japan. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA MJI WA AVIC, 'AVIC TOWN' ULIOPO KIGAMBONI DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, 'Avic Town', uliofanyika leo Juni 13, 2015 Kigamboni jijini Dar es SalaamMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa 'Avc International', Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuzindua ramsi Mradi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani