Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA MAENDELEO YA MRADI YA MAJI KATA YA KIGUNDA WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua  moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA NA KUKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA CHWAKA, UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja, wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama wa Chwaka, leo Sept 12, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi mkuu wa Tanki la maji, Yohana Mkoloma, wakati alipotembelea kukagua Mradi wa Maji safi na Salama wa Chwaka, Unguja leo Sept 12,...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015. M akamu wa Rais wa…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wanafamilia ya marehemu Mzee MtumwaKassim, wakati alipowatembelea kijijini kwao Gamba Sokoni Mkoa wa Kaskazini...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI LA SOKOINE MONDULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe) February 25-2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SKULI UNGUJA KASKAZINI .

                           Othman Khamis Ame,Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Maendeleo ya ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Jamii katika kijiji cha Kiwengwa Kiliomo ndani ya Wilaya ya Kaskazini “ B “ yanaendelea vyema katika hatua za mwisho zitakazoiwezesha skuli hiyo kuanza kuchukuwa wanafunzi wa Elimu ya maandalizi kuanzia mwezi Januari Mwaka ujao wa 2016.
Ujenzi wa skuli hiyo uliohusisha pia vyoo na Tangi la Kuhifadhia maji ambavyo vinajengwa kwa kutumia Taaluma ya Chupa za Maji ...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU, DKT. ABEDNEGO KESHOMSHAHARA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI MKOANI KAGERA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA PEMBA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili,wakati alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa barabara tatu za Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwemo Konde,-Wete,Wete Gando na Gando –Ukunjwi,katika ziara ya Mkoa huo Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Mecco Tanzania Abdulkadir Sheikh Bujet akitoa maelezo kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMNADI MBUNGE WA MUFINDI KASKAZINI MOHAMED MGIMWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. MOhammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, mkoani Iringa wakati wa mkutano wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Mohamed Mgimwa, uliofanyika juzi Okt 17. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mkoani Iringa wakati alipowasili Jimboni hapo juzi Okt 17, 2015 kwaajili ya kumnadi mgombea Ubunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani