Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dihozile walia kero ya maji

WAKAZI wa Kijiji cha Dihozile, Kata ya Msoga, wilayani Bagamoyo, wanatembea umbali wa zaidi ya saa mbili kupata huduma ya maji. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge  kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAMTUMBO: WANANCHI WALIA NA KERO YA UMEME, MADARASA, MAJI NA BARABARA

Mheshimiwa Vita Kawawa. Namtumbo ni moja kati ya wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma, Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini, Namtumbo inapakana na Mkoa wa Morogoro, Mashariki kuna Wilaya ya Tunduru, Magharibi kuna Wilaya za Songea Mjini na Songea Vijijini na Kusini Namtumbo inapakana na Nchi ya Msumbiji. Pia, Namtumbo ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Vita Kawawa, mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugawaji pembejeo Mtwara kero tupu, wakulima walia

“Wakulima wa korosho tunaweza kuboresha uchumi wetu kama Serikali itakuwa na nia madhubuti ya kukuza na kuwekeza katika kilimo.”

 

9 years ago

Mwananchi

Kilolo walia na mradi wa maji wa Ismani

Wakazi wa vijiji vya Ilole, Itumbuka na Mawala wilayani Kilolo mkoani Iringa, wameiomba Serikali ikarabati miundo mbinu ya mradi wa maji wa Isimani baada ya vituo vyake vingi kutokutoa maji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara Vijijini walia na ndoto ya maji ya uhakika

KUTOKANA na shida ya maji ya muda mrefu Wilaya ya Mtwara Vijijini mkoani hapa, Halmashauri ya Wilaya iliyageukia mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ili yawasadie kutatua adha hiyo. Halmashauri ilifanya hivyo...

 

9 years ago

Habarileo

Mukangara kuondoa kero ya maji

MGOMBEA wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Fenella Mukangara amezindua kampeni zake za ubunge kwa kuahidi kukabiliana na kero ya maji.

 

11 years ago

Michuzi

KIJITONYAMA SASA WALIA KWA KUKOSA UMEME NA MAJI

Uncle tumekua tukilia kilio cha muda mrefu huku kwa Ali maua Kijitonyama kuhusu tatizo la Maji, mara ya mwisho tumepata huduma hii wiki tatu zilizopita.
Ila kwa sasa matatizo yetu yameongezeka maana kwa muda wa siku tatu sasa tunalala usiku bila ya huduma ya umeme na mchana tunaupata kwa mgao.
Kwa kweli wakazi wa maeneo haya tunateseka sana na huduma hizi mbili na hakuna maelezo yeyote kutoka kwa wahusika. Tunaomba mawaziri husika watusaidie kama sio kupata huduma hizo basi angalau...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Tutaondoa kero ya maji Sengerema

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishukuru Wizara ya Maji kwa kutenga zaidi ya sh. bilioni 29 kutekeleza miradi ya maji jimboni kwake. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ngeleja...

 

10 years ago

GPL

KERO YA MAJI INAVYOWATESA WANANCHI SENGEREMA

Sengerema ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Mwanza. Upande wa Kaskazini na Mashariki imezungukwa na Ziwa Victoria, upande wa Kusini kuna Mkoa wa Geita na Kusini Mashariki kuna Wilaya ya Misungwi.
Ndani ya Wilaya ya Sengerema, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, Buchosa na Sengerema. Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari mpaka kwenye Jimbo la Sengerema linaloongozwa na Mheshimiwa William Ngeleja.  MATATIZO YA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani