Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJITONYAMA SASA WALIA KWA KUKOSA UMEME NA MAJI

Uncle tumekua tukilia kilio cha muda mrefu huku kwa Ali maua Kijitonyama kuhusu tatizo la Maji, mara ya mwisho tumepata huduma hii wiki tatu zilizopita.
Ila kwa sasa matatizo yetu yameongezeka maana kwa muda wa siku tatu sasa tunalala usiku bila ya huduma ya umeme na mchana tunaupata kwa mgao.
Kwa kweli wakazi wa maeneo haya tunateseka sana na huduma hizi mbili na hakuna maelezo yeyote kutoka kwa wahusika. Tunaomba mawaziri husika watusaidie kama sio kupata huduma hizo basi angalau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAMTUMBO: WANANCHI WALIA NA KERO YA UMEME, MADARASA, MAJI NA BARABARA

Mheshimiwa Vita Kawawa. Namtumbo ni moja kati ya wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma, Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini, Namtumbo inapakana na Mkoa wa Morogoro, Mashariki kuna Wilaya ya Tunduru, Magharibi kuna Wilaya za Songea Mjini na Songea Vijijini na Kusini Namtumbo inapakana na Nchi ya Msumbiji. Pia, Namtumbo ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Vita Kawawa, mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumbawanga walia kukosa madawati

Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa wanalazimika kukaa sakafuni kutokana na halmashauri hiyo kukabiliwa na upungufu wa madawati 6490.

 

5 years ago

StarTV

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji cha Mashine ya Maji katika kata ya Bunda stoo, mjini Bunda mkoani Mara, jana wamepiga yowe na kuanadamana kwa kukusanyika pamoja katika kituo cha Mashine ya kusukuma maji, iliyoko katika eneo la Migungani, mjini humo, kutokana na kituo hicho kufungwa na kusababisha kukosa huduma ya maji, kwa …

 

11 years ago

GPL

UCHONGAJI WA BARABARA WAKATA MABOMBA YA MAJI KIJITONYAMA

    Mkazi wa Kijitonyama akishuhudia tingatinga likiyakata mabomba yao.
    Tingatinga likiendelea na uchongaji wa barabara huku mkazi mmojawapo akiwa na vyombo vya kutekea maji.
    Mpira wa bomba mojawapo ukitiririsha maji.…

 

9 years ago

GPL

KISA UCHAGUZI...MADEREVA DALADALA DAR WALIA KUKOSA ABIRIA

Barabara ya Kawawa maeneo ya Kinondoni-Biafra hali ilivyoonekana, watu wachache barabarani. Watu wakionekana wachache tofauti na siku za kawaida. Hapa ni maeneo ya Kinondoni-Studio. Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni-Mwembechai ikionekana kutokuwa na watu au…

 

10 years ago

Vijimambo

KINDA WA ARSENAL ALIESHINDWA KUITUMIA TIMU HIYO KWA KUKOSA KIBALI SASA RUKSA.


Silva sasa ruksa Arsenal
Baada ya kushindwa kucheza Arsenal kwa miaka minne kutokana na tatizo la kibali cha kazi, Mbrazili Wellington Silva sasa njia ni nyeupe.
Silva (22) alisajiliwa na Arsenal kutoka Fluminense tangu 2011 lakini akashindwa kucheza kwa vile hakupewa kibali cha kazi kwa vile hakuwa na uzoefu mkubwa na anatoka nje ya Umoja wa Ulaya (EU).Walichofanya Arsenal ni kumpeleka kwa mkopo katika klabu tano tofauti za Hispania (imo kwenye AU) na sasa baada ya miaka minne amepewa uraia...

 

11 years ago

Habarileo

‘Miradi ya umeme kwa maji kutoanzishwa’

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema serikali haitaanzisha miradi ya kufua umeme kwa njia ya maji nchini kutokana na nchi kukumbwa na ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani