Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limesema kuwa mgao wa umeme unaoendelea nchini umesababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa umeme katika mabwawa ya maji kwa asilimia 81.3.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyura wapunguza uzalishaji umeme wa Tanesco

Shirika la Umeme (Tanesco), limepunguza kiwango cha uzalishaji wa umeme katika bonde la mto Kihansi, lililopo Kilombero mkoani Morogoro ili kuacha akiba ya maji kwa ajili ya ukuzaji na utunzaji wa vyura wanaopatikana katika eneo hilo ambao wapo hatarini kutoweka ulimwenguni.

 

9 years ago

Michuzi

TANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.

 Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi, Hosea Mbise akizungumza katika mkutano wa tatu wa wawekezaji na wadau wa nishati ya umeme ujulikanao kwa jina la  Powering Africa uliodhaminiwa na kampuni ya Wind East Africa. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Wind East Africa John Chaggama akifafanua jambo kuhusiana na uwekezaji wao wa Umeme wa Upepo uliopo mkoani Singida. Chaggama alisema mradi huo utatatua tatizo la nishati hiyo hapa nchini mara utakapoanza rasmi...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco wajivunia mradi wa Kinyerezi II

SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limesema ifikapo mwishoni mwa mwaka 2016 Tanzania suala la mgawo wa umeme litabaki kuwa historia.

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.

Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100.  Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.

 

9 years ago

StarTV

Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.

Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida

Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha

Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani