Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limesema kuwa mgao wa umeme unaoendelea nchini umesababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa umeme katika mabwawa ya maji kwa asilimia 81.3.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyura wapunguza uzalishaji umeme wa Tanesco

Shirika la Umeme (Tanesco), limepunguza kiwango cha uzalishaji wa umeme katika bonde la mto Kihansi, lililopo Kilombero mkoani Morogoro ili kuacha akiba ya maji kwa ajili ya ukuzaji na utunzaji wa vyura wanaopatikana katika eneo hilo ambao wapo hatarini kutoweka ulimwenguni.

 

9 years ago

Michuzi

TANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.

 Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi, Hosea Mbise akizungumza katika mkutano wa tatu wa wawekezaji na wadau wa nishati ya umeme ujulikanao kwa jina la  Powering Africa uliodhaminiwa na kampuni ya Wind East Africa. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Wind East Africa John Chaggama akifafanua jambo kuhusiana na uwekezaji wao wa Umeme wa Upepo uliopo mkoani Singida. Chaggama alisema mradi huo utatatua tatizo la nishati hiyo hapa nchini mara utakapoanza rasmi...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI UMESHUKA KUFIKIA ASILIMIA 6.1

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya watu Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hapo pichani) juu ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2015 umepunguwa hadi asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa mwezi Agosti mwaka huu. Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu, Ephraim Kwesigabo leo Jijini Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yasema mfumuko wa bei umeshuka kufikia asilimia 6.1

Mkurugezi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu wa NBS, Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana kuhusu, Fahirisi za bei za Taifa kwa mwezi Septembva, 2015. 1 Mkurungezi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu wa NBS, Ephraim Kwesigabo.

Taarifa ikichuliwa na wanahabari.

Mwanahabari Hilda kutoka gazeti la Daily News akichukua taarifa hiyo kwa umakini zaidi.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Na Dotto...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

10 years ago

Habarileo

Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18

UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.

Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100.  Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani