Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

11 years ago

Michuzi

Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL

Hofu ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

9 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WA NOVEMBA UMEONGEZEKA KWA ASILIMIA 6.6

 Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Epharaim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari juu ya mfumuko wa bei kwa mwezi Novemba ambao umefikia asilimia 6.6 leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Meneja wa  Mfumuko wa Bei wa NBS , Ruth Minja. 02.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa kutoka Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu,Epharaim Kwesigabo  hayupo picha leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Chalila Kibuda wa Globu ya Jamii)

 

9 years ago

Mwananchi

Ewura yashusha bei ya petrol, dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya rejareja ya mafuta aina ya petroli ambapo kuanzia leo Desemba 2, petrol imeshuka kwa Sh28 kwa lita, sawa na asilimia 1.38, huku bei ya dizeli ikishuka kwa Sh56 kwa lita sawa na asilimia 2.96.

 

10 years ago

Habarileo

Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18

UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limesema kuwa mgao wa umeme unaoendelea nchini umesababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa umeme katika mabwawa ya maji kwa asilimia 81.3.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini

Serikali imetangaza kupunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka Sh177,000 za awali hadi Sh27,000 vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani