Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL

Hofu ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL: Kuna kampeni chafu kuzuia punguzo la umeme

HOFU ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya Kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...

 

11 years ago

Michuzi

Emirates yatoa punguzo maalumu la bei za tiketi kwa Watanzania wanaokwenda Chicago, Marekani

Wasilisha ombi la tiketi kabla ya Agosti 5 kwa safari za hadi Novemba 30, 2014

Shirika la Ndege la Emirates, linalosifika kwa kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa abiria kwa mataifa mbalimbali, limetangaza ofa maalumu kwa Watanzania watakaokwenda Chicago nchini Marekani, kupitia Dubai wakitokea Dar es Salaam. Punguzo hilo au ofa hiyo maalumu ni kwa madaraja ya abiria wa kawaida yaani Economy Class na daraja la wafanyabiashara ‘Business Class’.
Emirates ilitangaza ofa hiyo mapema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet yatoa punguzo la bei kwa wateja wanaokwenda kuhudhuria Lohana Sports and Cultural Festival Uganda

CAPTION 1

Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akiongea na Bw. Navin Kanabar (kushoto) na Bw. Manish Rughani (katikati) ambao ni wateja wa fastjet waliopata tiketi za punguzo la bei kwenda Entebe Uganda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet  ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua tiketi nyingi.

CAPTION 2

Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akimkabidhi Bi. Nishita Davda tiketi ya kwenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL mwiba CCM

KITENDO cha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamua kuzima hoja ya kutaka kuunda Kamati Teule ya Bunge, kuchunguza kashfa ya ukwapuaji wa fedha katika akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki...

 

10 years ago

Vijimambo

KIPINDI HIKI CHA THANKS GIVING "MGAHAWA WA SAFARI WAENDELEA KUWASHUKURU WATEJA WAKE KWA PUNGUZO LA BEI YA VYAKULA -LEO IJUMAA !!

                                                                    KARIBUNI

 

11 years ago

GPL

PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA NGUO ZA KIKE

PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA NGUO ZA KIKE!! Kuna Punguzo la Bei katika duka la Sachques Clothing Store, Blouse, Skirts, Blazers, Trousers - Tshs 10,000/=, Short Dresses- 15,000; Long Dresses & Jump Suit-25,000; Hand Bags, Accessories na Viatu pia vipo kwenye PUNGUZO LA BEI, SIMU NAMBA 0774801316, Tupo Kijitonyama Police Mabati DSM, wa Mikoani tunatuma kwa maBasi. Tembelea www.facebook.com/SachquesClothingStore kuona vitu zaidi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani