IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba
9 years ago
Habarileo13 Dec
Profesa Muhongo aahidi kushusha bei ya umeme
WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara hiyo, ambao pamoja na mambo mengine, utaelezea bei ya nishati hiyo itakavyoshuka. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo alisema mbali na mkakati wa kushusha bei ya umeme, kasi ya kusambaza umeme...
10 years ago
Habarileo05 Jan
IPTL yashusha bei ya umeme
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.
10 years ago
Michuzi05 Jan
IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20
Marekebisho hayo yaliyotumia...
11 years ago
Michuzi10 May
Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...
10 years ago
Habarileo04 Feb
‘Tanesco haiwezi kushusha bei kwa sasa’
KUSHUKA kwa bei ya mafuta katika soko la dunia hakujawapa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) unafuu wa kuwafanya washushe bei ya umeme.
10 years ago
GPLSERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA,AHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
Dkt John Magufuli amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji,amesema kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na hivyo...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.