Profesa Muhongo aahidi kushusha bei ya umeme
WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara hiyo, ambao pamoja na mambo mengine, utaelezea bei ya nishati hiyo itakavyoshuka. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo alisema mbali na mkakati wa kushusha bei ya umeme, kasi ya kusambaza umeme...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba
9 years ago
Habarileo28 Dec
Muhongo achoshwa umeme wa bei juu
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.
11 years ago
Habarileo21 Jul
Muhongo: Bei ya umeme Tanzania ni ya chini zaidi
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ambayo bei ya umeme ni ya chini zaidi.
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Muhongo achoshwa na umeme wa bei ya juu unaonunuliwa Uganda
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Kupanda kwa umeme, Mnyika azidi kumng’ang’ania Profesa Muhongo
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.
Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.
10 years ago
GPLSERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI