Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo: Bei ya umeme Tanzania ni ya chini zaidi

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ambayo bei ya umeme ni ya chini zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Bei ya umeme chini zaidi Tanzania — Serikali

unnamed (49)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea eneo la jukwaa mara baada ya kuwasili katika eneo palipofanyika uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) wilaya ya Nyasa. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo na kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli.

unnamed (50)

Rais Jakaya M. Kikwete akichukua mkasi kwa ajili ya kukata utepe tayari kuelekea katika eneo la uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa umeme wilayani Nyasa...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo achoshwa umeme wa bei juu

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanauingiza mkoa wa Kagera katika Gridi ya Taifa baada ya kubainika nchi inaingia gharama kubwa kununua umeme kutoka Uganda.

 

9 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo aahidi kushusha bei ya umeme

WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara hiyo, ambao pamoja na mambo mengine, utaelezea bei ya nishati hiyo itakavyoshuka. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, Profesa Muhongo alisema mbali na mkakati wa kushusha bei ya umeme, kasi ya kusambaza umeme...

 

9 years ago

Global Publishers

Muhongo achoshwa na umeme wa bei ya juu unaonunuliwa Uganda

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella kabla ya kuanza ziara ya kukagua miundombinu ya umeme mkoani humo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kushoto) akimsikilizaMhandisi Filbert Mlaki. Waziri wa nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akikagua moja ya mtambo wa kuzalisha umeme wa Kituo cha Kibeta Waziri wa wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za umeme kushuka zaidi Julai

>Kuanzia Julai mwaka huu Watanzania wataanza kupata umeme wa uhakika na usiyo kuwa na gharama baada ya kuanza kazi kwa mtambo wa kuzalisha umeme wa gesi, utakaoingiza kwenye gridi ya Taifa megawati 150.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme kushuka bei zaidi Juni

Bei ya umeme inatarajiwa kushuka zaidi kuanzia Juni mwaka huu kutokana na kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya

unnamed27

Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Soka ya Tanzania iko chini zaidi Afrika mashariki

Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka Afrika mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani