Umeme kushuka bei zaidi Juni
Bei ya umeme inatarajiwa kushuka zaidi kuanzia Juni mwaka huu kutokana na kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Apr
Bei za umeme kushuka zaidi Julai
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bei ya umeme kushuka
SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Umeme kushuka bei
BAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Bei ya umeme kuanza kushuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Pan African Power Solutions (PAP) imesema bei ya umeme inaweza kuanza kushuka kutokana na ongezeko la umeme katika gridi ya taifa.
Hayo yalibainishwa Dar es Salaam, jana, na Mwanasheria Mkuu wa PAP, Joseph Makandege alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa kampuni hiyo.
PAP ilianza kuzalisha umeme baada ya kununua mitambo ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Hali hiyo inafuatia PAP kuzalisha megawati 100...
11 years ago
Habarileo13 May
Bei ya umeme mbioni kushuka
SERIKALI imetangaza na kusisitiza mpango wake wa kupunguza bei ya umeme kwa wananchi, utakaoanza mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Mlata (CCM).
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Wafungwa wailemea Serikali, Mauaji ya mlinzi TANAPA, Bei ya umeme kushuka, Hali ya joto…#MAGAZETNI
HABARILEO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi – Utumishi, kuwianisha mishahara ya watumishi wa wakala za Serikali, ili kusiwe na tofauti kubwa kati ya watumishi wa juu na wa chini. Kairuki alisema hayo jana alipoitembelea idara hiyo, […]
The post Wafungwa wailemea Serikali, Mauaji ya mlinzi TANAPA, Bei ya umeme kushuka, Hali ya joto…#MAGAZETNI appeared first on...
11 years ago
Dewji Blog20 Jul
Bei ya umeme chini zaidi Tanzania — Serikali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea eneo la jukwaa mara baada ya kuwasili katika eneo palipofanyika uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) wilaya ya Nyasa. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo na kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli.
Rais Jakaya M. Kikwete akichukua mkasi kwa ajili ya kukata utepe tayari kuelekea katika eneo la uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa umeme wilayani Nyasa...
11 years ago
Habarileo21 Jul
Muhongo: Bei ya umeme Tanzania ni ya chini zaidi
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ambayo bei ya umeme ni ya chini zaidi.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Bei ya mafuta kushuka
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.