Umeme kushuka bei
BAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bei ya umeme kushuka
SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Bei ya umeme kuanza kushuka
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Pan African Power Solutions (PAP) imesema bei ya umeme inaweza kuanza kushuka kutokana na ongezeko la umeme katika gridi ya taifa.
Hayo yalibainishwa Dar es Salaam, jana, na Mwanasheria Mkuu wa PAP, Joseph Makandege alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa kampuni hiyo.
PAP ilianza kuzalisha umeme baada ya kununua mitambo ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Hali hiyo inafuatia PAP kuzalisha megawati 100...
11 years ago
Habarileo13 May
Bei ya umeme mbioni kushuka
SERIKALI imetangaza na kusisitiza mpango wake wa kupunguza bei ya umeme kwa wananchi, utakaoanza mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Martha Mlata (CCM).
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Umeme kushuka bei zaidi Juni
10 years ago
Mwananchi12 Apr
Bei za umeme kushuka zaidi Julai
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Wafungwa wailemea Serikali, Mauaji ya mlinzi TANAPA, Bei ya umeme kushuka, Hali ya joto…#MAGAZETNI
HABARILEO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi – Utumishi, kuwianisha mishahara ya watumishi wa wakala za Serikali, ili kusiwe na tofauti kubwa kati ya watumishi wa juu na wa chini. Kairuki alisema hayo jana alipoitembelea idara hiyo, […]
The post Wafungwa wailemea Serikali, Mauaji ya mlinzi TANAPA, Bei ya umeme kushuka, Hali ya joto…#MAGAZETNI appeared first on...
11 years ago
Habarileo22 Jul
Bei ya mafuta kushuka
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mafuta yazidi kushuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bei kushuka:Nigeria yatikisika