Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme IPTL wafikia megawati 100

UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100

·        IPTL kuongeza uzalishaji hadi megawati 200 mwakani·        Kushusha zaidi bei ya umeme hadi chini ya senti nane za marekani
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.  
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme

Kupatikana kwa joto ardhi kwenye maeneo ya pembezoni mwa Bonde la Ufa, ni ugunduzi unaoelezwa kuwa chanzo tajiri cha nishati ambayo haijaanza kuvunwa nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme

SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.

 

9 years ago

Michuzi

TGDC YATARAJIA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 200 IFIKAPO 2020.

 Meneja Mkuu wa Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe akichangia mada wakati wa Warsha ya siku mbili inayofanyika Jijini Dar es Salaam inayowakutanisha wadau kutoka Mashirika mbalimbali yanayoshughulikia masuala ya jotoardhi kujadilia njia zilizotumiwa na baadhi ya mashirika kufanikiwa kupata nishati hiyo pamoja na uanishaji wa huduma tofauti zifanywazo na mashirika hayo katika kulisaidia shirika la TGDC nchini Tanzania, mashirika...

 

9 years ago

Bongo5

Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua

Chuo kikuu cha Dodoma kinatarajia kuzalisha umeme wa jua utakaoweza kuzalisha megawati 50. Mradi huo mkubwa unatarajiwa kujengwa na kuwa mkubwa kuliko chuo chochote kuwahi kujenga ndani ya eneo la chuo duniani. Megawati hizo zitatumika kwa kuanzia kusambaza umeme kwenye mabweni, madarasa ya kufundishia, sehemu za kufanyia tafiti na eneo la madawa au huduma za […]

 

10 years ago

Michuzi

Dola za Marekani Milioni 132 kutumika katika mradi mkubwa wa umeme wa upepo wa Megawati 50 Singida,Kutoa ajira 2,200

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa akitoa maagizo kwa Wakandarasi, Wataalamu kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Wizara ya Nishati na Madini na viongozi mbalimbali kwenye majumuisho ya ziara ya kamati hiyo, baada ya kufanya ukaguzi wa miradi ya umeme mkoani Singida pamoja na kuzungumza na wananchi. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa (katikati) akisisitiza jambo katika eneo la mradi wa kuzalisha...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UMEME RUFIJI WAVUKA MATARAJIO, WAFIKIA ASILIMIA 11, KUKAMILIKA JUNI MWAKA 2022

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiMradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (Rufiji Hydropower Project (RHPP) umetajwa kuzidi asilimia 11 mpaka sasa na unatarajiwa kukamilika kwa wakati uliopangwa ifikapo June 2022.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka wakati wa utoaji taarifa za Mradi huo kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wanaotembelea miradi ya maendeleo hapa nchini inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yasisitiza kushusha bei ya umeme

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya IPTL, imesema dhamira yake ya kushusha bei ya umeme kwa Watanzania ipo palepale. Katibu na mshauri wa masuala ya sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani