TGDC YATARAJIA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 200 IFIKAPO 2020.
Meneja Mkuu wa Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe akichangia mada wakati wa Warsha ya siku mbili inayofanyika Jijini Dar es Salaam inayowakutanisha wadau kutoka Mashirika mbalimbali yanayoshughulikia masuala ya jotoardhi kujadilia njia zilizotumiwa na baadhi ya mashirika kufanikiwa kupata nishati hiyo pamoja na uanishaji wa huduma tofauti zifanywazo na mashirika hayo katika kulisaidia shirika la TGDC nchini Tanzania, mashirika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme
9 years ago
Bongo523 Oct
Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XKkQiVSoP6w/VP03leaxfcI/AAAAAAAHIxs/mnJzAjLNdg4/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
Dola za Marekani Milioni 132 kutumika katika mradi mkubwa wa umeme wa upepo wa Megawati 50 Singida,Kutoa ajira 2,200
![](http://1.bp.blogspot.com/-XKkQiVSoP6w/VP03leaxfcI/AAAAAAAHIxs/mnJzAjLNdg4/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-WkSghGCcmx8/VP03l5xn1uI/AAAAAAAHIxw/telmypXDlFQ/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Aa2f2zjGbDk/U7YrvMtntHI/AAAAAAAFu1Q/x0IaQWeZhMc/s72-c/IPTL.jpg)
Mitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100
![](http://1.bp.blogspot.com/-Aa2f2zjGbDk/U7YrvMtntHI/AAAAAAAFu1Q/x0IaQWeZhMc/s1600/IPTL.jpg)
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...
9 years ago
MichuziTGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tanesco-16Sept2015.png)
Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
9 years ago
Habarileo08 Oct
Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme
SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.
9 years ago
Global Publishers03 Jan
Mkandarasi wa usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma kabla ya kuanza ziara ya kukagua miundombinu ya usafirishaji umeme, miradi ya umeme vijijini pamoja na shughuli za uchimbaji wa madini mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kulia) akizungumza na Meneja Mradi Ujenzi wa vituo vya kupoozea umeme katika mradi wa Miundombinu ya...