Mitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100
· IPTL kuongeza uzalishaji hadi megawati 200 mwakani· Kushusha zaidi bei ya umeme hadi chini ya senti nane za marekani
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme
9 years ago
MichuziTGDC YATARAJIA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 200 IFIKAPO 2020.
9 years ago
Bongo523 Oct
Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme
KUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mitambo ya IPTL itaifishwe - Serukamba
5 years ago
CCM BlogMITAMBO MIPYA YA NIDA YA KUZALISHA VITAMBULISHO 180,000 KWA SIKU YAWASILI
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME JIJINI DAR LEO