Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitambo ya IPTL itaifishwe - Serukamba

Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), Peter Serukamba amewataka wabunge wenzake wamuunge mkono ili kuishinikiza Serikali itaifishe mitambo ya mmiliki wa PAP inayosimamia IPTL kwa sasa, Harbinder Singh Sethi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100

·        IPTL kuongeza uzalishaji hadi megawati 200 mwakani·        Kushusha zaidi bei ya umeme hadi chini ya senti nane za marekani
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.  
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Serukamba ataka wa ‘Richmond’ wasafishwe

Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter SerukambaMBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba ametaka Serikali isafishe viongozi wengine waliojiuzulu katika kashfa mbalimbali, ikiwemo ya Richmond, baada ya kutoa kauli ya kusafisha viongozi waliojiuzulu katika kashfa maarufu za Escrow na Operesheni Tokomeza.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

Edward LowassaWAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa amesema huenda akamzuia Mbunge wa Jimbo la Kigoma, Peter Serukamba kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ili amsaidie jukumu muhimu kwenye safari yake ya matumaini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serukamba ataka treni mbili za kisasa

SERIKALI imetakiwa kununua treni mbili za kisasa ambazo ni maalumu kwa safari fupi ambapo gharama yake kila moja ni sh bilioni 8. Kamati ya Bunge ya Miundombinu, inayoongozwa na Peter...

 

10 years ago

Mtanzania

Serukamba atonesha vidonda Escrow, Tokomeza

peter-serukambaKhamis Mkotya na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (CCM), ametonesha vidonda vya ufisadi baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow.

Serukamba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, alishangazwa na taarifa hiyo kuwasafisha baadhi ya watu waliohusishwa katika kashfa hiyo na kuwaacha wengine, jambo ambalo alisema ni ubaguzi.

Kauli hiyo aliitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Zitto ‘ajigawia’ jimbo la Serukamba

>Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema anakusudia kuwa mbunge wa Kigoma Mjini kwa kipindi kimoja cha miaka mitano kuanzia 2015 hadi 2020, kabla ya kuomba kazi nyingine ya kufanya kwa Watanzania. Mbunge wa Jimbo hilo kwa sasa ni Peter Serukamba wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Habarileo

Serukamba awekwa kiti moto mbele ya Kinana

Peter SerukambaMBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba amejikuta katika wakati mgumu kwenye mkutano wa Halmashauri ya CCM wilaya ya Kigoma Mjini, baada ya kudaiwa na baadhi ya wajumbe kwamba hana ushirikiano na wenzake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitambo ya TANESCO yawasili

AWAMU ya kwanza ya mitambo ya kufua umeme kwa ajili ya mradi namba moja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam imewasili bandarini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yapokea mitambo ya mawasiliano

JESHI la Polisi nchini limepokea msaada wa mitambo ya redio na mawasiliano yenye gharama ya sh bilioni 2.4. Misaada hiyo iliyotolewa na Serikali ya Marekani itasaidia kupunguza uhalifu na kudhibiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani