NYANZA: Zitto ‘ajigawia’ jimbo la Serukamba
>Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema anakusudia kuwa mbunge wa Kigoma Mjini kwa kipindi kimoja cha miaka mitano kuanzia 2015 hadi 2020, kabla ya kuomba kazi nyingine ya kufanya kwa Watanzania. Mbunge wa Jimbo hilo kwa sasa ni Peter Serukamba wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Mar
Zitto alitema rasmi jimbo lake la Kigoma Kaskazini
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana amewaaga rasmi wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wananchi hao kutosononeka kwa uamuzi wake wa kutoendelea kugombea ubunge wa jimbo hilo, bali wamwombee na kumuunga mkono katika kila uamuzi atakaouchukua.
10 years ago
VijimamboZITTO KABWE MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JIMBO LA URAMBO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_ENOqgV5RJk/VTdWHr8laJI/AAAAAAAHSdc/gXFoFqcDo10/s72-c/unnamed%2B(86).jpg)
FUBUSA ATANGAZA NIA KUGOMBEA JIMBO LA ZITTO KABWE KWA TIKETI YA CHADEMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_ENOqgV5RJk/VTdWHr8laJI/AAAAAAAHSdc/gXFoFqcDo10/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Gombe school of Environment and Society (GOSESO) na mmiliki wa Gombe high school, Dkt Yared Fubusa ambaye pia ni kada wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugomba ubunge jimbo la Kigoma kaskazini kupitia chama hicho.
Akiongea na mtandao huu, Dkt Fubusa alisema kuwa ameamua kutangaza nia ya kugombea ubunge na kipaumbele cha awali ni kuboresha Elimu,huduma za afya,miundombinu.
Alisema vipaumbe...
10 years ago
Habarileo14 May
Serukamba ataka wa ‘Richmond’ wasafishwe
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba ametaka Serikali isafishe viongozi wengine waliojiuzulu katika kashfa mbalimbali, ikiwemo ya Richmond, baada ya kutoa kauli ya kusafisha viongozi waliojiuzulu katika kashfa maarufu za Escrow na Operesheni Tokomeza.
10 years ago
Habarileo15 Jun
Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge
WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa amesema huenda akamzuia Mbunge wa Jimbo la Kigoma, Peter Serukamba kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ili amsaidie jukumu muhimu kwenye safari yake ya matumaini.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mitambo ya IPTL itaifishwe - Serukamba
10 years ago
Mtanzania14 May
Serukamba atonesha vidonda Escrow, Tokomeza
Khamis Mkotya na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (CCM), ametonesha vidonda vya ufisadi baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow.
Serukamba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, alishangazwa na taarifa hiyo kuwasafisha baadhi ya watu waliohusishwa katika kashfa hiyo na kuwaacha wengine, jambo ambalo alisema ni ubaguzi.
Kauli hiyo aliitoa...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Serukamba ataka treni mbili za kisasa
SERIKALI imetakiwa kununua treni mbili za kisasa ambazo ni maalumu kwa safari fupi ambapo gharama yake kila moja ni sh bilioni 8. Kamati ya Bunge ya Miundombinu, inayoongozwa na Peter...
10 years ago
MichuziZitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo