Mitambo ya TANESCO yawasili
AWAMU ya kwanza ya mitambo ya kufua umeme kwa ajili ya mradi namba moja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam imewasili bandarini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-CVFfnspCtyo/Xty4PN1vg3I/AAAAAAABMUY/UcZBYR3mwzsLxcOv6tqgtHDGiajycaEbQCLcBGAsYHQ/s72-c/EZ456IoWoAAv-Vz.jpeg)
MITAMBO MIPYA YA NIDA YA KUZALISHA VITAMBULISHO 180,000 KWA SIKU YAWASILI
![](https://1.bp.blogspot.com/-CVFfnspCtyo/Xty4PN1vg3I/AAAAAAABMUY/UcZBYR3mwzsLxcOv6tqgtHDGiajycaEbQCLcBGAsYHQ/s400/EZ456IoWoAAv-Vz.jpeg)
10 years ago
Habarileo22 Mar
Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco
MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.
9 years ago
StarTV11 Oct
TANESCO yazima mitambo bwala la kidatuÂ
Mitambo Mitatu kati ya minne inayozalisha Umeme katika kituo cha KIDATU kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro imezimwa kutokana na kupungua kwa kina cha Maji katika bwawa hilo.
Meneja wa Tanesco katika kituo hicho Mhandisi Justus Mpolera amesema hivi sasa mashine inayofanya kazi ni moja ambayo inauwezo wa kuzalisha mega wati 27 na kama hakutakuwa na mabadiliko ya hali ya hewa basi kituo chicho kitafungwa ndani ya siku chache.
Meneja wa Tanesco kituo cha kidatu mhandisi Justus...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Tanesco yazima mitambo mitatu bwawa la Kidatu
10 years ago
Habarileo02 Oct
Mahakama Kuu yazuia Tanesco kusimamia mitambo Tegeta
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kutoingilia umiliki, usimamizi na utawala wa Mitambo ya ufuaji umeme iliyopo Tegeta, Dar es Salaam hadi hapo uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapotolewa.
10 years ago
MichuziTANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO
![](http://2.bp.blogspot.com/-81QGT6H1ACk/U_GCYc4tBvI/AAAAAAAAHGE/44VwyIGJjo0/s1600/IMG-20140817-WA0018.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-STGCl01gOGQ/VVSjPyhMmcI/AAAAAAAHXS4/Ry6WraKReBc/s72-c/unnamed%2B(78).jpg)
TAIFA STARS YAWASILI RUSTENBURG
![](http://2.bp.blogspot.com/-STGCl01gOGQ/VVSjPyhMmcI/AAAAAAAHXS4/Ry6WraKReBc/s640/unnamed%2B(78).jpg)
Taifa Stars ambayo iliondoka jana joni jijini Dar es salaam jijini Dar es salaam na kufika OR Tambo saa 5 usiku, ilipata mapokezi mazuri kutoka kwa waandaji wa michuano ya COSAFA pamoja na watanzania wanaoishi jijini humo, ililala katika hoteli ya Southern Sun.
Safari ya kutoka Johannesburg kuelekea...
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Majeshi ya NATO yawasili Kunduz
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Young Shepolopolo yawasili Tanzania