Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama Kuu yazuia Tanesco kusimamia mitambo Tegeta

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kutoingilia umiliki, usimamizi na utawala wa Mitambo ya ufuaji umeme iliyopo Tegeta, Dar es Salaam hadi hapo uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapotolewa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu yazuia kulinda kura meta 200

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepiga marufuku mtu yeyote asikusanyike wala kukaa umbali wa meta 200 kutoka katika kituo cha kupiga kura siku ya kesho, wakati wananchi wakipiga kura.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco kupandishwa kortini Mahakama Kuu

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) leo linafikishwa katika Mahakama Kuu na Kampuni ya MacDonald Live Line Technology likidaiwa fidia baada ya kusitisha mkataba wa kukarabati njia ya umeme kati ya Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitambo ya TANESCO yawasili

AWAMU ya kwanza ya mitambo ya kufua umeme kwa ajili ya mradi namba moja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam imewasili bandarini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.

Ni majira ya saa 10 na dakika 10 Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Mhongo ndipo alipofika katika mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinachomilikiwa na Tanesco bila ya kutoa taarifa na kukuta wafanyakazi pamoja na wahandisi wa kituo hicho cha umeme wakiendelea na kazi katika mitambo hiyo. 
Na kukagua mitambo hiyo leo  na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

9 years ago

StarTV

TANESCO yazima mitambo bwala la kidatu 

Mitambo Mitatu  kati ya minne  inayozalisha Umeme katika  kituo cha KIDATU kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro  imezimwa kutokana na kupungua kwa kina cha Maji katika bwawa hilo.

Meneja wa Tanesco katika kituo hicho Mhandisi Justus Mpolera  amesema hivi sasa mashine inayofanya kazi ni moja ambayo inauwezo wa kuzalisha mega wati 27 na kama hakutakuwa na mabadiliko ya hali ya hewa basi kituo chicho kitafungwa ndani ya siku chache.

Meneja wa Tanesco  kituo cha kidatu mhandisi Justus...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yazima mitambo mitatu bwawa la Kidatu

Morogoro. Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limezima mitambo yake mitatu kati ya minne ya kuzalisha nishati katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro, ikiwa ni siku moja imepita tangu ilipotangaza kuzima mashine zake zilizopo kwenye bwawa la Mtera huko Dodoma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yazuia marufuku ya pombe India

Mahakama ya rufaa nchini India imezuia mpango wa jimbo la Kerala Kusini mwa nchi hiyo kupiga marufuku pombe.

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO

Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme.Mafundi wa Tanesco wakiandaa pipa kwa ajili ya kuwekea mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye Transforma.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kuelekeza mafuta yaliyokuwa yakimwagika kuingia katika pipa.Mafuta yakiwekwa katika Pipa.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kurudishia mafuta katika mitambo ya kupozea umeme. Mitambo ya kituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani