Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO

Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme.Mafundi wa Tanesco wakiandaa pipa kwa ajili ya kuwekea mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye Transforma.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kuelekeza mafuta yaliyokuwa yakimwagika kuingia katika pipa.Mafuta yakiwekwa katika Pipa.Mafundi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro wakijaribu kurudishia mafuta katika mitambo ya kupozea umeme. Mitambo ya kituo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SIF ATEMBELEA HOTEL ILIYOUNGUA KWA MOTO NUNGWI KENDWA

Baadhi ya Sehemu za jengo la Jiko la Hoteli ya Kendwa Rocks iliyoko Mkoa wa Kaskazini Unguja ambalo iliuungua moto ulisababishwa na hitilafu za umeme.Wahandisi wa Hoteli ya Kendwa wakijaribu kurejesha miundo mbinu ya umeme iliyoathirika kutokana na moto mkubwa uliotokea kwenye Hoteli hiyo.Jengo la Jiko la Hoteli ya Kendwa Rocks lililoungua vibaya mwa moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Mwakilishi wa Hoteli ya Gold...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Karafuu Beach Resort Spa iliyoungua kwa moto Ijumaa usiku

Uongozi wa Hoteli ya Kimataifa ya Karafuu Beach Resort  Spa ya Michamvi Wilaya ya Kati umeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi wa Kijiji cha Michamvi Wilaya ya kati kwa juhudi walizochukuwa katika kusaidia kuuzima moto mkubwa uliotokea juzi mnamo saa 10.00 za alfajiri. Meneja wa Hoteli hiyo Bwana Zakaria Juma alitoa pongezi hizo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Hotelini hapo kuangalia athari ya moto huo kwa lengo la kutoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitambo ya TANESCO yawasili

AWAMU ya kwanza ya mitambo ya kufua umeme kwa ajili ya mradi namba moja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam imewasili bandarini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),...

 

10 years ago

Habarileo

Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco

Wafadhili na mabalozi wanaowakilisha mashirika na nchi zao hapa nchini wakikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi cha Kinyerezi, Dar es Salaam hivi karibuni.MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.

 

9 years ago

StarTV

TANESCO yazima mitambo bwala la kidatu 

Mitambo Mitatu  kati ya minne  inayozalisha Umeme katika  kituo cha KIDATU kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro  imezimwa kutokana na kupungua kwa kina cha Maji katika bwawa hilo.

Meneja wa Tanesco katika kituo hicho Mhandisi Justus Mpolera  amesema hivi sasa mashine inayofanya kazi ni moja ambayo inauwezo wa kuzalisha mega wati 27 na kama hakutakuwa na mabadiliko ya hali ya hewa basi kituo chicho kitafungwa ndani ya siku chache.

Meneja wa Tanesco  kituo cha kidatu mhandisi Justus...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yazima mitambo mitatu bwawa la Kidatu

Morogoro. Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limezima mitambo yake mitatu kati ya minne ya kuzalisha nishati katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro, ikiwa ni siku moja imepita tangu ilipotangaza kuzima mashine zake zilizopo kwenye bwawa la Mtera huko Dodoma.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu yazuia Tanesco kusimamia mitambo Tegeta

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kutoingilia umiliki, usimamizi na utawala wa Mitambo ya ufuaji umeme iliyopo Tegeta, Dar es Salaam hadi hapo uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapotolewa.

 

5 years ago

Michuzi

SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU WAFANYA KIKAO CHA KUPENDEKEZA MAREKEBISHO YA SHERIA


Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella, akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella (Wa kwanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge Kilimanjaro wafanya vizuri kielimu

WABUNGE wa Mkoa wa Kilimanjaro wamekuwa vinara katika kuboresha elimu ya shule ya msingi kwa kupata wastani wa asilimia 82 sawa na daraja ‘A’ wakati wabunge wa mikoa ya Singida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani