Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi seif atembelea Karafuu Beach Resort Spa iliyoungua kwa moto Ijumaa usiku

Uongozi wa Hoteli ya Kimataifa ya Karafuu Beach Resort  Spa ya Michamvi Wilaya ya Kati umeipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi wa Kijiji cha Michamvi Wilaya ya kati kwa juhudi walizochukuwa katika kusaidia kuuzima moto mkubwa uliotokea juzi mnamo saa 10.00 za alfajiri. Meneja wa Hoteli hiyo Bwana Zakaria Juma alitoa pongezi hizo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Hotelini hapo kuangalia athari ya moto huo kwa lengo la kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA ATHARI ZA MOTO KATIKA HOTELI YA KITALII YA KARAFUU BEACH RESORT

Baadhi ya Majengo ya Haoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.Bwawa la Hoteli ya Karafuu Beacha Resort Spa likionekana kuathirika na moto ulioikumba Hoteli hiyo juzi alfajiri.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kafaruu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.Maneja wa Hoteli ya Karafuu Beach Resort Bwana...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SIF ATEMBELEA HOTEL ILIYOUNGUA KWA MOTO NUNGWI KENDWA

Baadhi ya Sehemu za jengo la Jiko la Hoteli ya Kendwa Rocks iliyoko Mkoa wa Kaskazini Unguja ambalo iliuungua moto ulisababishwa na hitilafu za umeme.Wahandisi wa Hoteli ya Kendwa wakijaribu kurejesha miundo mbinu ya umeme iliyoathirika kutokana na moto mkubwa uliotokea kwenye Hoteli hiyo.Jengo la Jiko la Hoteli ya Kendwa Rocks lililoungua vibaya mwa moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Mwakilishi wa Hoteli ya Gold...

 

9 years ago

BBC

Tunisia 'foils new beach resort plot'

Police in Tunisia have foiled a new plot to attack the beach resort of Sousse, where 38 people were killed in June, the interior ministry says.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif Atembelea Shamba la Kilimo Makurunge Bagamoyo.

Meneja wa Shamba la Chuo cha Kilimo Kizimbani liliopo Makurunge Magamoyo Nd. Abdulrahman Mahmoud Hamid akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakati wa ziara yake ya kulikagua shamba la SMZ waliokabidhiwa chuo hicho.Nyuma ya Balozi Seif ni Waziri wa Ardhi Zanzib ar Mh.Abdulla Shaaban, Waziri wa Kilimo Zanzibar Dr. Sira Ubwa Mwamboyta na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nd. Ali Khalil Mirza.Balozi Seif akitafakari na Mwanasheria wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa SMZ...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATEMBELEA FUJONI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO

Mwanachama wa Maskani ya Nia njema Fujoni akiwasilisha changamoto ya Vijana wa Maskani hao ya ubovu wa uwanja wao wa michezo mbele ya Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi aliyekaa kutoka mwanzo kulia.Balozi Seif akisisitiza umuhimu wa vijana kuendelea kupenda michezo ili kuimarisha afya zao na kujijengea mazingira ya ajira katika sekta hiyo ya michezo.Baadhi ya wanachama wa maskani ya Nia njema ya Fujoni Kilimani wakifuatilia hotuba ya Mbunge wao Balozi Seif hayupo pichani wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar { ZECO } Nd. Hassan Ali Hassan alisema shirika lake linakusudia kutumia rasilmali ilizonazo katika kuhakikisha huduma za umeme zinapatikana kwenye kisima cha maji cha Kijiji cha Kilombero ili kuwaondoshea usumbufu wa huduma za maji safi  kwa Wananchi wa Kijiji hicho. Alisema kazi hiyo itakayoanza wakati wowote kuanzia sasa inatarajiwa kukamilika sambamba na ulazwaji wa mabomba ya maji utakaofanya na wahandisi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA }...

 

10 years ago

TheCitizen

Mouth-watering fish dish at Faulu Beach Resort

It was a warm weekday afternoon when we arrived at the Faulu Beach Resort. The resort is located at the popular Luchelele beach front in Nyegezi in a plush, yet unpretentious environment, nearly 17 kms from Mwanza town.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembelea Mabanda ya Maonyesho ya miaka 50 ya muungano

Licha ya baadhi ya wabunge wa Upinzani wa Bunge Maalum la Katiba kuamua kususia kuendelea kushiriki katika mjadala wa Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa ndani ya Bunge hilo Kundi kubwa la Wajumbe hao waliobaki wataendelea kuchapa kazi waliyotumwa na Wananchi bila ya kujali uwamuzi uliochukuliwa na wale walioamua kutoka nje ya mjadala huo.  Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mbunge wa Bunge hilo Maalum la Katiba Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani