Mahakama Kuu yazuia kulinda kura meta 200
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepiga marufuku mtu yeyote asikusanyike wala kukaa umbali wa meta 200 kutoka katika kituo cha kupiga kura siku ya kesho, wakati wananchi wakipiga kura.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Oct
Mahakama Kuu yaombwa kutupa ‘kesi ya meta 200’
MW A N A S H E R I A Mkuu wa Serikali (AG) ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali kesi ya kikatiba kuhusu haki ya wananchi kukaa meta 200 kutoka katika kituo cha kupigia kura. Kesi hiyo ilianza kusikilizwa jana mbele ya jopo la majaji Sakieti Kihiyo, Aloysius Mujulizi na Lugano Mwandambo.
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Sakata la kulinda kura latua Mahakama Kuu
11 years ago
Habarileo02 Oct
Mahakama Kuu yazuia Tanesco kusimamia mitambo Tegeta
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kutoingilia umiliki, usimamizi na utawala wa Mitambo ya ufuaji umeme iliyopo Tegeta, Dar es Salaam hadi hapo uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapotolewa.
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mahakama: Ni kosa kulinda kura
10 years ago
GPL
ILIVYOKUWA JANA SHAURI LA MITA 200 MAHAKAMA KUU
10 years ago
Habarileo23 Oct
Hatma ya kesi ya meta 200 kutolewa leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali wa wapigakura kukaa mita 200 kutoka kwenye vituo vya kupigia kura.
10 years ago
StarTV24 Oct
Mahakama Kuu yasema maelekezo ya NEC ni sahii ya kutokukaa mita 200.
Mahakama Kuu Maalamu Kanda ya Dar Es Salaam, imemaliza Utata dhidi ya uhalali wa wapiga kura kukaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura na kusema maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yapo sahihi.
Utata huo umekuja baada ya Mahakama hiyo kutoa ufafanuzi wa kifungu 104(1) namba 37 ya Mwaka 2015 iliyofunguliwa na Amy Kibatala aliyetaka ufafanuzi wa Tafsiri ya Kifungu cha 104 (1) sura 543 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi iliyorejewa mwaka 2002 kuhusu kukaa...
11 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mahakama yazuia marufuku ya pombe India
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Mahakama yazuia ‘vijipesa vya ugoro’ IPTL