Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi (Kushoto) akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Felchesmi Mramba wakati wa Halfa ya kupokea mitambo miwili ya kuzalisha umeme yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 183 itakayokwenda kufungwa Kinyerezi ambapo mitambo hiyo itaanza kufanya kazi mwezi wa kumi mwaka huu.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Maswi asafishwa

maswi

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ndg. Eliakim Maswi.

PRESS RELEASE – MASWI.doc 

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Ataka kauli za “njoo kesho” zikome

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (kushoto) akijadiliana jambo na Kamishna wa Nishati, Mhandisi Hosea Mbise (katikati). Wa kwanza kulia ni Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Maendeleo ya Nishati, James Andilile. Wajumbe wa kikao wakimsikiliza katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo. Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi (kushoto) akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.

Ni majira ya saa 10 na dakika 10 Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Mhongo ndipo alipofika katika mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinachomilikiwa na Tanesco bila ya kutoa taarifa na kukuta wafanyakazi pamoja na wahandisi wa kituo hicho cha umeme wakiendelea na kazi katika mitambo hiyo. 
Na kukagua mitambo hiyo leo  na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIM MASWI ASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Eliakim Maswi. KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wanja Mtawazo ( kulia) akisalimiana na Mbunge wa Lulindi- Masasi, Jerome  Bwanausi ( kushoto) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini mara baada ya kamati hiyo kuwasili katika eneo la mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I. Kamati hiyo inafanya ziara katika miradi ya umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuzungumza na wadau wa madini ya...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KWENYE KITUO CHA KUZALISHA UMEME KWA NGUVU YA MAJI, MTERA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametembelea Kituo cha Kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji cha Mtera kwa lengo la kujionea hali halisi ya kituo hicho.
Akielezea hali halisi aliyoiona kituoni hapo, Profesa Muhongo alisema kwa wakati huu kituo hicho cha Mtera hakizalishi umeme wa kiasi chochote huku akitaja sababu kuwa ni upungufu wa maji uliosababishwa na matumizi mabaya ya maji ya Bwawa hilo.
Profesa Muhongo alisema njia bora ya utatuzi wa upungufu wa maji kwenye bwawa hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KAMA ANGELIJUA KESHO YAKE ANGESIMAMISHWA KAZI SIDHANI KAMA ANGEKUWEMO KWENYE HOTUBA YA JK

Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini, Eliakim Maswi, aliyesimamishwa, akitafakari jambo, wakati Rais Jakaya Kikwete akihutubia taifa kupitia wazee wa jiji la Dar es Salaam, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Jumatatu Desemba 22, 2014Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini, Eliakim Maswi, aliyesimamishwa, akifuatilia hotuba ya Rais Jakaya KikweteKatibu Mkuu wizara ya nishati na madini, aliyesimamishwa, Eliakim Maswi, akielekea kwenye gari lake wakati akitoka ukumbi wa Diamond Jubilee jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani