Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme
SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV12 Nov
Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.
Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida
Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha
Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Tanesco kuongeza megawati 125
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), linaendelea kupunguza makali ya mgawo wa umeme, baada ya kutangaza kuongeza megawati 125 ili kuhakikisha huduma hiyo inarudi katika hali ya kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba, alisema ili kuhakikisha nchi inarudi katika hali ya kawaida, mitambo hiyo itawashwa kwa awamu ndani ya wiki hii ambapo juzi wameanza kuwasha mtambo wa...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
9 years ago
Mwananchi20 Oct
‘Sekta ya kilimo ina upungufu’
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme
11 years ago
Habarileo22 May
Mahakama Kuu bado ina upungufu wa majaji
JAJI Kiongozi Fakhi Jundu amesema Mahakama Kuu bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa majaji, jambo linalosababisha jaji mmoja kusikiliza mashauri mengi kwa mwaka.
9 years ago
MichuziTGDC YATARAJIA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 200 IFIKAPO 2020.
10 years ago
Habarileo09 Nov
‘Tanzania ina upungufu wa vyuo vya uongozi thabiti’
AL I Y E K U W A Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amesema Tanzania ina upungufu mkubwa wa vyuo vinavyotakiwa kutoa fani ya uongozi thabiti.
9 years ago
Bongo523 Oct
Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua