Tanesco kuongeza megawati 125
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), linaendelea kupunguza makali ya mgawo wa umeme, baada ya kutangaza kuongeza megawati 125 ili kuhakikisha huduma hiyo inarudi katika hali ya kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba, alisema ili kuhakikisha nchi inarudi katika hali ya kawaida, mitambo hiyo itawashwa kwa awamu ndani ya wiki hii ambapo juzi wameanza kuwasha mtambo wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Oct
Tanesco yasema ina upungufu wa megawati 220 za umeme
SHIRIKA La Umeme Tanzania (Tanesco), limekiri kuwepo kwa upungufu wa umeme nchini kutokana na kuwa na upungufu wa megawati 220. Upungufu huo umesababisha shirika hilo kuzalisha umeme pungufu, ambapo kwa sasa ni megawati 720 badala ya megawati 940 zinazohitajika nyakati za usiku na megawati 870 nyakati za mchana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vdYBJAZL6Ow/XuN4ktGqaAI/AAAAAAALtkw/9dnVJOQV2-gEieHLq40qosxzK283uRSgQCLcBGAsYHQ/s72-c/445cb7bf-5803-4aad-9048-776eec3201ab.jpg)
Dkt. Mwinuka amtaka Mkandarasi kuongeza kasi ujenzi Ofisi za TANESCO Geita
![](https://1.bp.blogspot.com/-vdYBJAZL6Ow/XuN4ktGqaAI/AAAAAAALtkw/9dnVJOQV2-gEieHLq40qosxzK283uRSgQCLcBGAsYHQ/s640/445cb7bf-5803-4aad-9048-776eec3201ab.jpg)
Dkt. Mwinuka amesema ujenzi wa majengo hayo ni sehemu ya jitihada za Shirika kuhakikisha linaendesha shughuli zake katika majengo yake na hivyo kuepukana na gharama kubwa za upangishaji majengo kwa matumizi za ofisi...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Dkt. Kalemani awaagiza TANESCO kuongeza uzalishaiji wa umeme ifikapo mwishoni mwa Desemba 2015
Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (kushoto) akimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mtendaji Tanesco Bw.Decklan Mhaiki alipokuwa akimwonyesha mradi wa Kinyerezi I mara baada ya kuwasili katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi eneo la Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
Meneja Mradi TANESCO Mhandisi Simon Jalima (wa pili kushoto) akimwonyesha Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (wa pili kulia) moja ya mtambo unaopokea gesi kutoka mtwara na...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Umeme IPTL wafikia megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100, ambacho ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake. Kiwango hicho kilifikiwa Juni 15 mwaka huu, huku uongozi wa kampuni hiyo ukiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Aa2f2zjGbDk/U7YrvMtntHI/AAAAAAAFu1Q/x0IaQWeZhMc/s72-c/IPTL.jpg)
Mitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100
![](http://1.bp.blogspot.com/-Aa2f2zjGbDk/U7YrvMtntHI/AAAAAAAFu1Q/x0IaQWeZhMc/s1600/IPTL.jpg)
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Mkakati wa Megawati 10,000 kuiingiza nchi uchumi wa kati
9 years ago
MichuziTGDC YATARAJIA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 200 IFIKAPO 2020.