Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ewura yashusha bei ya petrol, dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya rejareja ya mafuta aina ya petroli ambapo kuanzia leo Desemba 2, petrol imeshuka kwa Sh28 kwa lita, sawa na asilimia 1.38, huku bei ya dizeli ikishuka kwa Sh56 kwa lita sawa na asilimia 2.96.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

EWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANUARI 7,2015

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
 Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Dewji Blog

EWURA yashusha bei ya mafuta ni kuanzia leo Januari 7, 2015

IMG_2418

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.

IMG_2394

Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.

IMG_2377

Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

Na Dotto Mwaibale, Habari za Jamii Blog

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati, Maji...

 

10 years ago

GPL

EWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANUARI 7, 2015‏

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel.…

 

11 years ago

Habarileo

Ubora wa petroli, dizeli Tanzania ni wa juu -Ewura

TANZANIA inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na bidhaa bora zaidi ya mafuta ya petroli na dizeli yenye kiwango kidogo cha kemikali cha salfa na ifikapo Januari mwakani, ubora utaongezeka mara dufu.

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya petroli, dizeli yashuka

Bei ya mafuta ya taa, petroli na dizeli zimeshuka kuanzia leo. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza jana kuwa bei za rejareja zimepungua kwa Sh79 kwa lita ya petroli sawa na asilimia 4.01, dizeli Sh76 kwa lita sawa na asilimia 4.20 na mafuta ya taa Sh66 kwa lita sawa na asilimia 3.73.

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli, dizeli bei juu

kaguo+titusGRACE SHITUNDU NA TUNU NASSOR,
DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya itakayoanza kutumika leo ambapo mafuta ya petroli na dizeli yamepanda huku mafuta ya taa yakishuka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo, alisema bei ya jumla na rejareja ya mafuta aina zote imebadilika ikilinganishwa na bei elekezi iliyotolewa Aprili, mwaka huu.
Alisema bei ya rejareja kwa mafuta ya petroli imeongezeka kwa Sh...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL yashusha bei ya umeme

Sethi SinghKAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

10 years ago

StarTV

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

comprar kamagra barato

Kushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.

Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani