Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyura wapunguza uzalishaji umeme wa Tanesco

Shirika la Umeme (Tanesco), limepunguza kiwango cha uzalishaji wa umeme katika bonde la mto Kihansi, lililopo Kilombero mkoani Morogoro ili kuacha akiba ya maji kwa ajili ya ukuzaji na utunzaji wa vyura wanaopatikana katika eneo hilo ambao wapo hatarini kutoweka ulimwenguni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limesema kuwa mgao wa umeme unaoendelea nchini umesababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa umeme katika mabwawa ya maji kwa asilimia 81.3.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji

Likiwa linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Umeme (Tanesco), limesema kuwa uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji (hydroelectric), ndiyo wa kutegemewa kuliko njia nyingine.

 

9 years ago

Michuzi

TANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.

 Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi, Hosea Mbise akizungumza katika mkutano wa tatu wa wawekezaji na wadau wa nishati ya umeme ujulikanao kwa jina la  Powering Africa uliodhaminiwa na kampuni ya Wind East Africa. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Wind East Africa John Chaggama akifafanua jambo kuhusiana na uwekezaji wao wa Umeme wa Upepo uliopo mkoani Singida. Chaggama alisema mradi huo utatatua tatizo la nishati hiyo hapa nchini mara utakapoanza rasmi...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mabadiliko ya tabianchi kuathiri uzalishaji umeme


Na Greyson Mwase, Morogoro
MABADILIKO ya tabianchi yanachangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi, imeelezwa.
Hayo yalisemwa  jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, alipofungua mafunzo  yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais– Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro.
Mhandisi Mwihava...

 

11 years ago

Dewji Blog

JK: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme

o1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani  Agosti 6, 2014.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi ya Afrika ni uzalishaji mdogo na matumizi ya chini mno ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yatoa mitambo kuongeza uzalishaji umeme

KAMPUNI ya GE Power & Water Distributed Power, imetoa vifaa viwili na mitambo minne itakayosaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 15 kwa Kampuni ya Jacobsen Elektro AS,...

 

9 years ago

Michuzi

TGDC NA MKAKATI WA UZALISHAJI WA UMEME KUPITIA JOTOARDHI

 Meneja Mkuu Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe (kushoto) pamoja na Mtaalamu Mkuu toka Kampuni ya TOSHIBA Bwana Kentaro Kurahara wakiweka saini Mkataba wa wa Maelewano (MOU) wa kufanya tafiti kwa pamoja zinahusu maeneo yenye viashiria ya upatikanaji wa nishati ya jotoardhi katika Ofisi za TGDC zilizopo Jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuu Shirika la Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mhandisi Boniface Njombe (kushoto)...

 

9 years ago

Michuzi

Ziara ya Dkt.Kalemani katika kituo cha uzalishaji umeme kwa kutumia Gesi Kinyerezi.

Na Anitha Jonas –MAELEZO Wizara ya Nishati na Madini imewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uzalishaji wa umeme katika Mradi wa Kinyerezi I na Kinyerezi II unakamilika ifikapo mwezi Februari 2016 na kuanza kufanya uzalishaji ilikuongeza kiasi cha nishati ya umeme kufikia zaidi ya Megawati 100.  Agizo hilo lilitolewa leo na Naibu Waziri, Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani alipofanya ziara yake katika kituo cha kuzalisha umeme kwa kutumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani